Nawapenda sana paka

Mimi yule nilimuweza kwenye chakula kama hakipo kwenye sahani yake hali, ukitupa chini hali.
Hakukua na banda hivyo alikua analala na mimi room moja, alfajiri atanirukia rukia pale ili nimfungulie, ila ndo vile vidume vikamteka vikalala naye mbele.
Hahaha! Safi sana ulimfuga vema.
 
09499df1452d6b520328b49b764afff5.jpg
 
Napenda paka sana,sana.
Tena siku hizi nimepunguza zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa nalala na paka wangu.
Dah...
Paka wangu wakiwa wanasafisha macho
5deadb2aa473ceef6c53607920fe4766.jpg
Safi sana Nifah, paka ni kiumbe rafiki sana haswa ukimjulia.....nawaona vijana hapo wakitazama ulimwengu.
 
Pamoja na kufuga kote paka nilishuhudia wakisex mara moja tu, juu ya bati. Nahisi paka ni wasiri sana pia
 
Aiseee katika hawa wanyama wakufuga , paka siwafagiliii wala nini.

Hata nikienda kutembea nyumba yenye paka sipendagi kucheza cheza now na huwa sifich nawajuza , kuwa sipendi ukaribu na paka ingawa siwachukiii.

Nikiwa geto eti nisikie wanapiga kelele zao ,nawabutua tu.

Dog ndio mpango mzima..... tena upate kubwa libabe.
 
Unayosema ni kweli wapo watu ambao hawaivani kabisa na paka na kuna wengine hawapendi mbwa pia, nilishawahi kufuga paka mmoja wakaongezeka mpaka wakafika nane, hali hiyo iliwapa wakati mgumu baadhi ya wageni wangu.
 
Napenda paka.
Tangu utoto nyumbani hapakosekani paka na nimeshawazoea.
Paka wana Upendo sana na wanatambua ukiwa unaonyesha Upendo kwao.
Raha sana pale unaporudi akishakuona tu unaanza kukupokea kuanzia mbali na anakaa karibu yako.
Hata ukiishi peke yako hutohisi upweke ukifuga huyu mnyama.
Na katika wanyama siwapendi na nawaogopa ni mbwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom