Kweli hata baada ya tukio nilihudhunika
Ila walinikera mpk nilichukua hatua hiyo ni wabishi sana halafu mm nina kasuku wangu nawafuga ,hawa paka lzm waingie halafu wapo wengi kila mbinu ya kuwatimua imeshindana wanakaa ndani ya bati. Kuna nyakati silali kwa ujinga wao halafu wezi ,nahofia kasuku sabb hawaaminiki ,sabb iliyonisukuma kuna usiku sikulala kabisa wanaingia ndani wanapigana wanapiga mikelele natoka kuwafukuza lkn wanarudi..hawa paka miezi kibao karibia mwaka wanasumbua tu na hakuna dalili ya wao kuondoka ,nikiwa harsh wataogopa ,nikiwadekeza wataendeleza ujinga