Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,196
pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao kwangu,kama mnavoona mzee anashika mkia na Tropical namba moja.
Kongosho huishi kunivutia na unavyowajua hawa wanasayansi nguli ...the other time it was newton and Love ...Anyway...Adui apendwe ... na .. vema achukuliwe hatua stahili .. bila chuki, hasira, kinyongo na hisia hasi zozote ..maana kiukweli huo ndio UPENDO!!Intellectual enemiesHata Isack Newton na Albert Einstein walikuwa maadui kutokana na miakili yao.
Kongosho huishi kunivutia na unavyowajua hawa wanasayansi nguli ...the other time it was newton and Love ...Anyway...Adui apendwe ... na .. vema achukuliwe hatua stahili .. bila chuki, hasira, kinyongo na hisia hasi zozote ..maana kiukweli huo ndio UPENDO!!
Mpende adui yako kama unavyojipenda wewe!
maneno ya busara haya.
Nampenda Mwajuma kuliko ninavyojipenda mimi.
nampenda hamisi kishindindo ila sio sana ninavyompenda desh desh.
Kwani wamekufanya nini ??
Hiyo inatosha
pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao kwangu,kama mnavoona mzee anashika mkia na Tropical namba moja.
Hiyo inatosha
wamemmwagia maji wakati alikuwa hana nia ya kuoga..
wabheja!
Nyani Ngabu karibu tena, ulikuwa kifungoni? au uliLog off?