Nimekuwa nikijiuliza kama ipo siku na mimi nitakuwa mtu maarufu kama hawa Mzizi mkavu, lara 1, Heaven on earth, amu, Smile, Baba V na wengine kibao. Kila ikiletwa sred hawaishi kutajwa tajwa.
Ni wewe tu, Wewe shinda humu mwanzo mwisho,ukiposti na kufuatilia thread. Pia hao wenzio sio wa leo humu,kuna watu toka 2006 wapo haja jamvini,toka jamvi halijabadilishwa jina.
TAHADHARI: Angalie usishinde humu JF ukalisha familia nyasi.Tunatofautiana namna ya kupata ridhiki.
Nimekuwa nikijiuliza kama ipo siku na mimi nitakuwa mtu maarufu kama hawa Mzizi mkavu, lara 1, Heaven on earth, amu, Smile, Baba V na wengine kibao. Kila ikiletwa sred hawaishi kutajwa tajwa.