MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,262
- 1,220
Duh: wapi hii mkuuNilipokua sekondari kuna dada mmoja hivi mwanafunzi alikua ana mahusiano na mwalimu. Sasa kilichotokea yule mwalimu alimpa mimba mimba ikakua ikafika miez mitatu wakakubaliana watoe mimba.
Bas ikabid jamaa amuite docta ili hio shughuli wakafanyie geto kwake aise kwel ile mimba ikatolewa lakin yule mwanamke akaanza kuishiwa nguvu ana akafariki. Walichokifanya wakaibeba ile mait na kuiteleza balabalan usiku ili igongwe wapoteze ushahidi, kuna bas ikawa inakuja dereva akaiona wakastuka wakapiga sim polis wale wote waliofanya wanasota jela mpaka leo
Katika kujadili hii mada inatakiwa tuhusishe theory 2 ambazo ni pro-life & pro-choice.Huwa kuna kishawishi kuwa Mimba ni Kama kauvimbe tu, kwa hakika hata Kama ni mimba ya siku moja, kuitoa ni dhambi na wale wote wanaoshiriki kuitoa mf. Madaktari na Wauguzi waliofanikisha Mpango huo, Mume au boyfriend aliyesupport kwa namna yoyote, wote wana hatia mbele ya Muumba.
Kila kiumbe Bila kujali hatua kilichofikia, kina HAKI ya kuishi sawa na Waliozaliwa. TULINDE NA TUTUNZE UHAI.
kutoa mimba ni kuua! Wazazi wako wangetoa mimba yako, UNGEZALIWA? tafakari vizuri, kutoa mimba ni kuua.Dhambi ni uzinzi
Kutoa mimba sio dhambi, mwishowe utasema hata kumwaga nje ni dhambi.
Mtoto ni Yule aliyezaliwa.
Sema kimaadili ya kijamii kutoa mimba inaweza likawa Jambo baya Sana lakini kusema ni kuua. Hapo nitakukatalia.
Kuua lazima kuwe na mambo kadhaa ya lazima.
Muuaji lazima awe na jina.
Aliyeuliwa lazima awe na jina.
Kutoa mimba sio kuua Ila ni kosa kimaadili ya baadhi ya jamii.
Duhh... Tukio la kutisha. Ilitokea wapi hii!??Nilipokua sekondari kuna dada mmoja hivi mwanafunzi alikua ana mahusiano na mwalimu. Sasa kilichotokea yule mwalimu alimpa mimba mimba ikakua ikafika miez mitatu wakakubaliana watoe mimba.
Bas ikabid jamaa amuite docta ili hio shughuli wakafanyie geto kwake aise kwel ile mimba ikatolewa lakin yule mwanamke akaanza kuishiwa nguvu ana akafariki. Walichokifanya wakaibeba ile mait na kuiteleza balabalan usiku ili igongwe wapoteze ushahidi, kuna bas ikawa inakuja dereva akaiona wakastuka wakapiga sim polis wale wote waliofanya wanasota jela mpaka leo
kuna bas ikawa inakuja...Nilipokua sekondari kuna dada mmoja hivi mwanafunzi alikua ana mahusiano na mwalimu. Sasa kilichotokea yule mwalimu alimpa mimba mimba ikakua ikafika miez mitatu wakakubaliana watoe mimba.
Bas ikabid jamaa amuite docta ili hio shughuli wakafanyie geto kwake aise kwel ile mimba ikatolewa lakin yule mwanamke akaanza kuishiwa nguvu ana akafariki. Walichokifanya wakaibeba ile mait na kuiteleza balabalan usiku ili igongwe wapoteze ushahidi, kuna bas ikawa inakuja dereva akaiona wakastuka wakapiga sim polis wale wote waliofanya wanasota jela mpaka leo
kutoa mimba ni kuua! Wazazi wako wangetoa mimba yako, UNGEZALIWA? tafakari vizuri, kutoa mimba ni kuua.