Ndio wapo wanao kili tena mapemaUlishawahi kuona mtuhumiwa anakiri haraka haraka mahakamani?
Ya mashoga (marafiki) wote. Mdee na Bulaya hawawezi kufuzwa chadema kwa sababu ni mashoga (marafikia) sana. Labda Matiko na wengineo kwani wao sijawasikia marafiki zao. Lakini Mdee na Bulaya thubutu. Wao ndiyo kielelezo halisi cha 1wapo ya sera za chademaChadema ni ya wote!
AKA mzee wa kifurushi cha maisha.J J Mnyika!
Unaogopa watakuja kuchukua nafasi zenu huko nanyie muendelee kuimba pambio?Siasa siyo uadui.
Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama.
Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu.
Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo muda unakwenda kasi sana.
Tunakumbushana tu.
Maendeleo hayana vyama!
Hata kama Mnyika kapeleka majina sheria yakupitisha hao vitu maalum inatakiwa vikao nikikao kipi kilipitishaMkuu mnyika anakana juu ya hilo
Unataka kusema mnyika kawazunguka viongozi wa chadema pamoja na wanachama?
Tusubiri majibu JohnHata kama Mnyika kapeleka majina sheria yakupitisha hao vitu maalum inatakiwa vikao nikikao kipi kilipitisha
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Nyinyi mbona speaker wenu amesema ataendelea nao hats bila chama?Siasa siyo uadui.
Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama.
Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu.
Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo muda unakwenda kasi sana.
Tunakumbushana tu.
Maendeleo hayana vyama!
CCM mavyeo ni mengi tofauti na hapo Ufipa!Unaogopa watakuja kuchukua nafasi zenu huko nanyie muendelee kuimba pambio?
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Spika hayuko juu ya katiba bwashee!Nyinyi mbona speaker wenu amesema ataendelea nao hats bila chama?
Wako bize kufuata nyayo za Askofu Rashidi kutengeneza video pendwa,wameona siasa imeshawatupa mkono wameamua kutumia vipaji vyao vingine maisha yasonge.Siasa siyo uadui.
Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama.
Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu.
Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo muda unakwenda kasi sana.
Tunakumbushana tu.
Maendeleo hayana vyama!
Siasa siyo uadui...... Tunakumbushana tu!Ni pale chanjo ya covid 19 inapolazimishwa kuchanjwa kwa nguvu.
Wenyewe wameona hakuna umuhimu unateseka wewe kwann?
Sasa anayepaswa kuchanja chanjo ya covid 19 hahitaji chanjo,,Siasa siyo uadui...... Tunakumbushana tu!
Naona Id zako zote mbili ziko mzigoni!Ni jambo jema.