Nawakubali sana wanaume wenye six pack

Nawakubali sana wanaume wenye six pack

Sasa mimi mwanaume anayevutiwa na wanaume wenzie wa kazi gani?? 😹😹

Mimi nadate wagumu, hata mkono ukinigusa najua huyu mwanaume kanigusa, sasa wewe uwe soft na mimi niwe soft si balaa hilo..!! 🤣
😂😂😂😂😂
 
Nakuambiaje atakufa huku anatetema km mayelee, bado ahamie kwa wafuga dreds. Lol
😂😂😂😂😂

Si ana sura nzuri kuliko dada yake huyo hadi wanawake wanamgombea ,kaona ngoja na yeye aanze kutamani wenye six packs
 
Back
Top Bottom