Nawakubali sana wanaume wenye six pack

Nawakubali sana wanaume wenye six pack

Mkuu wewe ni Mwanaume ? Kama ni ndio, tumia lugha ya uanaume kuelezea Hisia zako .

Kwa mfano.... "Jamaa wenye six packs Wana consistency ya hatari kwenye mazoezi".

Hii yako ya "Nawakubali sana wanaume wenye six pack" ....inatia ukakasi
Unaelewa maana ya kukubali au unajifanya mjuaji sana? Acha shobo utasutwa mtoto wa kiume.
 
Hii picha nimecheka kwa sauti, had watu wananishangaa hapa.
Waja em pumzisheni mbavu zangu bas. Lol
😂😂😂😂😂😂😂😂
Diarra yupo mbali sana na goli. Ubaya Ubwela mshindwe wenyewe tu kupachika mabao siku ya Derby. Dunia hii we acha tu mjukuu 😂😂😂
 
Gran pah nimecheka hapa, kuna watu sebuleni tunasubiri kutazama UEFA, imebidi niingie chumbani nicheke vyedii.

Waja wana visa hatarii, 😂😂😂😂😂
 
Km huelewi maana ya kukubali basi hata muda sina, kwa taarifa yako mi ni mwanaume lijali, na huenda hujawahi date a fine good looking man km mimi ever.
😂😂😂😂 uduguu em njoo ona, si dharau hizi Lol
 
Acha bwana, Lamomy una dates na vishoia. A super beautiful has said.
 
Mkuu wewe ni Mwanaume ? Kama ni ndio, tumia lugha ya uanaume kuelezea Hisia zako .

Kwa mfano.... "Jamaa wenye six packs Wana consistency ya hatari kwenye mazoezi".

Hii yako ya "Nawakubali sana wanaume wenye six pack" ....inatia ukakasi
Huyu dem alishawahi kujipost ana mashavu flani hivi lipsi denda yani kiufupe mzuri na pozi aliloweka inaonekana mapenzi ya kitandani anayajua sio kama Lamomy mtukutu
 
Km huelewi maana ya kukubali basi hata muda sina, kwa taarifa yako mi ni mwanaume lijali, na huenda hujawahi date a fine good looking man km mimi ever.
Wewe ni mwanaume lijali au sio.
 
Mkuu wewe ni Mwanaume ? Kama ni ndio, tumia lugha ya uanaume kuelezea Hisia zako .

Kwa mfano.... "Jamaa wenye six packs Wana consistency ya hatari kwenye mazoezi".

Hii yako ya "Nawakubali sana wanaume wenye six pack" ....inatia ukakasi
Mtoa mada ni 🌈
 
Km huelewi maana ya kukubali basi hata muda sina, kwa taarifa yako mi ni mwanaume lijali, na huenda hujawahi date a fine good looking man km mimi ever.
Sasa mimi mwanaume anayevutiwa na wanaume wenzie wa kazi gani?? 😹😹

Mimi nadate wagumu, hata mkono ukinigusa najua huyu mwanaume kanigusa, sasa wewe uwe soft na mimi niwe soft si balaa hilo..!! 🤣
 
😂😂😂😂 uduguu em njoo ona, si dharau hizi Lol
😹😹😹 Uduguu nimelia sana..!!

Sasa mimi na wanaume km mabinti tutawezana kweli? Mi nataka ma-King Kong yeye sample za kina dimpoz wana waume zao..!!
 
😂😂😂😂😂 jamaniii.
 
haszu mm peke yake ndo najua wewe ni mwanamke na kwa namna ile umenivutia sana kwenye ile picha yani kiufupi moyo wangu umeraruriwa kabisa na tunu ya urembo wako

Nataka nije inbox unipe uliyofundishwa na mama
 
Back
Top Bottom