Nawaheshimu walimu

Sawa sawa
 
Huko Linked huwa naona watu wanajisifia tu, bora ajichanganye pia mambo mengine
 
Hiyo social protection kwa tz Haina ishu labda ingekua umemalizia chuo ukanda wa gaza strip ndo ungepata ajira fasta na Hamas ndo wangekua mabosi zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka wallah
 
Basi ajira zipo kimboka
Kwa course zinazotolewa na vyuo vya posta vinatoa fursa ya mtu kujiajiri, na pia hata kama sio kujiajiri lkn Kwa mtu mjanja ni rahis kuchora ramani mapema tangu kipindi anaanza field ya kwanza.

Mfano mtu anasoma IT pale IFM field ya kwanza akapigia Total Energy baada ya field akaendelea kujitolea pale kwa ile miezi miwili anayokua free kabla hajaingia mwaka wa pili, mwaka wa pili anarudi pale na anaendelea kujitolea pale akihitimu ni rahis kurudi pale, the same kwa aliesoma marketing au procurement CBE au aliesoma mechanical Engineering DIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…