inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Kwahiyo mmejiandaa kabisaaaa kufanya ufirauni wenu mkijua tutawavumilia? Siku hizi hatuvumilii ujinga wa makusudi huo.
Aiseeeeee
yani wewe una amini maneno ?
Hapana kuna kuteleza some time na tamaa...
incase kama ya huyu dada, awe tuu mvumilivu but it dosent mean kwamba ameaccept iyo hali ila atafute solution huku akiwa anamvumilia huyo boi..
Ndugu yangu anakukuta humjui mwanaume yeye ndo wa kwanza unapenda kupitiliza .unaamka asubuhi unamuandalia mpaka supu mumeo aende kashiba ,umetimiza wajibu wako name kumtii lakini anayokufanyia no balaa mi moyo ulishakufa nimebaki kugightia maendeleo yangu tuu kumbe hakuna kupenda dunia ningejua ujana wangu ningeufaidi vizuriii log mxiiiiu Mungu anisamehe
Shemeji nimekutafutia tusi hata sijaona maana yote mazuri, yaani huwa mnajiandaa kabisaaa kuwa tamaa zitawapitia so tuwavumilie tuuuuu!! Sivumilii ujinga mimi.
Una akili kweli sijui ni me Mkuu Nina mdogo Wang tafadhali mkuu
Heaven Sent kumbuka ile thread ya quote na misemo niliyoitoa,, ulitoa quote nzuri sana ambazo katika ili tatizo lako ziliweza kua solution au kukupa ahueni
Pole, ila kuna sababu inayomfanya achepuke...sio bure.
Pia umeongelea upande wako tu,labda naye ana malalamiko yake.
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Shem sasa utatanga tanga sana, maana wanaume wa siku hizi wachache mnoo walio tulia, kwa huu mtindo wa kusema akichepuka tuuu wakimbia
Hakuna sababu yoyotee ni hurka na umalayaa tu hakun lolotee
Hebu sema haraka shemdarling hapa kuna nini kuna sehemu nawahi ukimuona Evelyn Salt mwambie namtafuta
Kwann asiamin wakat mmi ndo nmeandika we vipii belv or not huo ndo ukweli tang nmekuwa na mwak wa tano sasa hajawah kuta nmemcheat,hatawahi skia nnamtu,nampenda,namheshimu,namthamin na kumthamini lakin kafanya utumboo ni mwanamkee gan sasa hiv afanye yotee hayo karne hii mxuuu foolish
Kwahiyo mmejiandaa kuchepuka eti?? Na unatetea kabisaaa kwa nguvu zoote, je huko nako sio kutangatanga? No wonder laana tu zinatuandama siku hizi, dhambi tunazichukulia just easyyyyyy!!!