Nawachukia wanaume

Wanaume wasikuhizi ndiyo walivyoo jaribu kuwa na ijasiri yamali utashangaa atakupenda kama sukari
 
Asilmia kubwa ya wanaume wanafanana tabia,Jambo la msingi nikumvumilia tu uliye naye.Kucheat kwa mwanaume kuna ruhusiwa lakini asikamatwe.Lakini wewe ukicheat ukafahamika kama upo ndani ya ndoa au nje ya ndoa bas mapenzi yenu yameishia hapo.Wanaume wanapocheat walio wengi wanakuwa wanyenyekevu kwa njia kuu,Lakini kwa wanawake kiburi na dharau vinaongezeka ndio maana ni vigumu sana kumjua mwanaume anae chepuka lakini ni rahisi zaidi kwa mwanamke kufahamika.
 

pole usilani sana na wanaume nao wanaendwa hivyo hivyo na ww tafuta mnyonge sasa
 
Hapo inategemea na mchepukaji anajilinda kwa kiasi gani,na lishe anayoipata inamsupport na kuwa na afya bora baada ya kuchepuka!!!

Why take risk? Anachepuka abaki huko huko kichochoroni
 
Maneno Yake yasikufanye Ukampa sifa zote Inawezekana Ana matatizo tena makubwa. Mwanaume hawezi kukurupuka tu
Kama ana mtu ana matatizo unabaki nae wa nini? Si umwache tu. Hapa mwenye matatizo ni huyo aliechepuko badala ya kudeal na relationship yake like a man.
 
Wewe asikusumbue kuja kipande hii utulize mtima wako
 

Inabidi uzoee tu dada maana wanaume tupo hivyo, a real man never get satisfied we are always curious..sorry if am disappointn you but my intention is to advice you to find a better way to accept n deal with it.
 
Generally mwanaume kuwa na madem hata wawili hiyo ipo ad kuoa unaoa wake zaid ya mo1 hila mwanamke huwez kuolewa na waume wawili
 
Sasa unanichukia mimi kwalipi zaidi
Kisa tu mimi ni mwanaume aaaah Hiyo sio sawa mchukie mmoja huyohuyo wangine tunajielewa
 
Pole,but kama kwel unahitaji upate ufumbuzi ili isiwe tatizo kwako,jichunguze kwanza wewe mwenyew,kitaalamu tunasema tumia internal locus of control kwenye maisha na matatizo yako,tafuta namna mtu asipate wazo la kutoka nje ya mahusiano,kwan wao wana nn ambacho we huna? Kwann alianza nawe sasa yupo kule? Any way take it,mwanaume ni kama mtoto unapomzuia asichezee hiki hakikisha umempa mbadala wa kuchezea!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Poole mwayaaa ndo walivyo tuishi nao kwa akili tuuuu ndo kilichobaki
Miaka hii ya digitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…