Nawachukia wanaume


Kuchepuka ni swala la kawaida kabisa kwa mwanaume. Mwanamke ukiwa kwenye ndoa ulitambue hilo.
 

Pole! naona yamekukuta! njoo huku tulipe kisasi!!!!!
 
Kuna kurudi nyuma hatua kadhaa, na kunakurudi mwanzo kabisa. Yani mnarudigi from hero to zero, kuanza kupiga hatua tena mmmh...

Ndio hivyo mamii unakuwa mdogo kama piriton unajipanga upyaa....ila utakuta mwanamke hajiuliz why kachitiwa..
 
Ndio hivyo mamii unakuwa mdogo kama piriton unajipanga upyaa....ila utakuta mwanamke hajiuliz why kachitiwa..
Katika maisha yako yote " never underestimate a woman". Usijirudi afu ukaona kakupokea tu kiurahisiiii teh atakuchekesha kitalebani
 
Kwa kweli inakatisha tamaa sana kuona mtu yupo proud kukiri "udhaifu". Ni kama mgonjwa anaumwa but Kila ukimpa dawa anazitupa kisiri siri. Inamaanisha yupo tayari kufa tu. Tuwaombee tu

Kukiri udhaif haimaanishi tunakubaliana na hii hali, binafsi siipend ila naelezea hali ambayo inawakuta watu...
 
Kukiri udhaif haimaanishi tunakubaliana na hii hali, binafsi siipend ila naelezea hali ambayo inawakuta watu...

Angalau, naamini kwa kuwa hupendi kuchepuka basi utajitahidi kwa Kila hali ili usichepuke
 
ikitokea nakutana na wanawake wamekuzidi kete kwanini nisichepuke? walaumu wanawake wenzako kwanini wameumbwa vizuri hvo ucmlaumu mwanaume maana v2 vngne kujizuia ni kaz sana ,hata wewe ungekua mwanaume usingeweza kuzivumilia papuchi tam tam zkpita mbele yako.
 
Ujinga ni Pale Unapoumizwa na Mmoja kisha kutuchanganya Wanaume wote... Hivi Umeshawahi kuambiwa wanaume wote tupo sawa Kimawazo, kimatendo na Kifkra? kuwaingiza wanaume wote kwenye kosa lililofanywa na Mwanaume mmoja nikutukosea Heshima.

Mngeshauriana kama mna tofauti. Tatizo kuna wenzenu wanaojieleza kwamba wote mko hivyo ili wavumiliwe wasiachwe.
 

Ila ukimwi, gono na kansa ya kizazi vitahusika
 

Katika maisha yako yote yaliyobaki hapa duniani ukae ukifahamu kwamba kuna Wanauma na wa kiume.
Kuna Wanawake na wa kike.
Examine urself refering to wat a ve told u mama
 
pole dada ila jua hata maandko yanasema kila jarbu litapta hvyo muombe mungu na uskmbilie kumuacha muombee xana na mungu atajbu

Iwapo ni ndoa na anataka kuendelea kuumia, kama ni uhusiano wa uasherati amwache kuna wanaume zaidi ya bilioni hapa planet earth
 
Tuwaulize wanawake na nyie mmaridhika Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…