Dada malaika sisemi kusiwe na wageni lakini wageni wanapokuwa wengi kuliko wenyeji huoni ni kama kuzavezana fulani hivi. Kuna mtu kasema baadhi ya "wageni" ni wenyeji ila wanakuwa anakula chabo kwanza kabla ya kuingia.lakini katika kundi hili wenye identity zaidi ya moja!!acha chuki binafsi wewe HUWEZI KUWA MWENYEJI BILA KUWA MGENI hata sisi nasisitiza sisi wenyeji tulikua wageni pia nasasa tumekua wenyeji
mimi huwa nikifungua naingia mazima, kazi yangu moja tu, kumtafuta pumpkin head leo kasema nini!!!Kwani wewe ukifungua JF unakimbilia kusaini in au unacheki upepo kwanza?