Nawaangalia members wa JF tu🤣🤣

Nawaangalia members wa JF tu🤣🤣

Yanajifanya hayapo Facebook ila JamiiForums ndio kuna members wengi ambao wapo Facebook 😅

Ila ukiyaangaalia hapa yanajifanya majanja , kuwa hayapo fb 🤣

Kumbe ni mambigwa ya fb tu kama sisi tu😅
Sijawahi tumia fb hata kidogo insta nipo GG hapa
 
Akaunti ya kwanza kabisa kuifungua tangu nian̈ze kumiliki smartphone ilikuwa ni ya JF nilifungua nikiwa darasa la 6

Nikaja kufungua akaunti ya FB nikiwa kidato cha kwanza ambayo ndiyo naitumia mpaka leo hii ina miaka zaidi ya 15, pia niko X japo siitumii sana, Insta n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom