Nawaangalia members wa JF tu🤣🤣

Nawaangalia members wa JF tu🤣🤣

Yanajifanya hayapo Facebook ila JamiiForums ndio kuna members wengi ambao wapo Facebook 😅

Ila ukiyaangaalia hapa yanajifanya majanja , kuwa hayapo fb 🤣

Kumbe ni mambigwa ya fb tu kama sisi tu😅
Mkiwafikia wazee waliofungiliwa account za Tiktok na watoto wao mniambie!

Season 3 Reaction GIF by Good Trouble.gif
 
Sio 50 tu hata laki mtapigwa hakuna cha buree, uzuri hao wanao wapiga kupitia connection, huwa hawawafati PM kuwauzia au kuwarubuni wawape Connection, si mnajipeleka wenyewee.

😂😂😂 mtapigwa na kulizwa sanaa hapa JF.
wee si unataka Connection, tema mpunga huo watu waishi nao, watu hawachekeshi, watu hawarembi. Watu hawaachi mapene.

😂😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom