Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,534
- 6,622
Huu mtego huu nimeshtuka alafu PM ipo wazi hata km navuta PM siji na huo mtako km Amehlo siji PM nimekwepa mtegoNaomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu
Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta bangi,weeeeee!
Alikuwa akivuta bangi halafu akiniwekea dyudyu,weeee mdomo koma!๐