wewe unaelezwa ukweli lakini mbishi. Unaambiwa acha kuzoea kuwasiliana nasi mara kwa mara tulioolewa kaka ni hatariKuwasiliana na mke wa mtu siyo dhambi ishu ni mnawasiliana kuhusu nini?
Kwani uzinzi hufanyika usiku tuu?????????Mtu kama unajielewa huwezi kuhisiwa hisiwa!!! Haiwezekani mtu uendekeze mazingira tata afu ukihisiwa ujifanye kustuka!
Mimi waume za watu wote ikifika saa 2 baaas!!!!!!!!!!! Siwatafuti tena unlesss nijue mateja wa bar!
Mimi yule mama alikuta SMS 1!!!!!!!! Ila huyu ni CONTINUING SITUATION!!!!!!!! Yule mume keshakwaruzana nae mara kadhaa ila hakomiii! Angekuwa wa kuelewa angeacha imediately baada ya contrdiction ya kwanza!!!!!!!!!INAKERA SANAAAAAAAAAA you want to spend some quality time na mtu wako japo usiku tu na MISIMU haiishi!!!!!! Kazi gani hizo ammeshinda wote, bado usiku kutughasi ghasi!!!!!!!! HAIHUUUUUUUUUU kabisaaaaaa!!!!!!Mi namuelewa huyo mume sanaaa! Kama ni kazi ya muhimu na ni usiku kwanini ASI TEXT basi ili hata wewe mume ukitaka kujiridhisha UONE EVIDENCE!!!!!!!!!!! Wao kongea tu, kutext No!!!!!! Mjini hapa wewe!!!!!!!!!
Lara 1, hujanijibu swali langu, umewahi kuhisiwa? By the way, mtu mwingine kukuhisi juu ya jambo fulani , ipo ndani ya mtu huyo whether unajielewa au la...Mtu kama unajielewa huwezi kuhisiwa hisiwa!!! Haiwezekani mtu uendekeze mazingira tata afu ukihisiwa ujifanye kustuka!
Mimi waume za watu wote ikifika saa 2 baaas!!!!!!!!!!! Siwatafuti tena unlesss nijue mateja wa bar!
naunga mkono sana alichosema snow lakini niongezee kidogo
nahisi unaweza ukawa hujaoa, watu/vijana wengi hushindwa kujua mipaka ya kuhusiana na waume/wake za watu. kiukweli huyu mume kafanya maamuzi ya haraka na magumu ila, huwezi jua kama huyu jamaa alikuchunguza kwa urefu gani?? maana kuna technology nyingi siku hizi zinazowezakufatilia nyendo za wawili.
mimi nashauri kama ni suala la kusaidiana kazi si vizuri muendele kufanya hivyo. kuhusu sasa ufanyaje mimi nashauri mwache kwanza yeye atapata majibu on the way, unajua hadi mtu kufanya conclusion ngumu kama hiyo lazima kuna uchunguzi wa kina ambao wewe kama mtenda jambo huwezi jua kama ulifanya hivyo kiutani kumbe yeye akainasa kama sms, au kadi etc.then akaconclude.
upende usipende watu siku hizi si waminifu ktk ndoa zao. na mmomonyoko wa ndoa huanza kidogokidogo kama vile mchwa unapokula mti, then badae mti unaonekana mzima kwa nje lakini ukigusa tu unaanguka hata kwa kuni haufai. kuna combination ya mambo hapo! angekwepo JF na yeye mume amwage mashitaka yake ungeshangaa sana kiasi anachokutuhum. usichukulie rahisirahisi. kama umeoa uwe bize na mkeo bana.
Silence speaks a lot than words. Sijui nini kinakuuma hapo!!! Kwani we ndiye uliyemtuma huyo dada kuolewa na dunya? We tulia zako, wala dhamira isikusute... wakisolve sawa, wasiposolve poa. By the way kwa jinsi alivyo huyo jamaa, bora tu hiyo ndoa ivunjike mdada akae kwa amani...
Huenda akawa hivyo, kwanini alipuke kwa tatizo dogo kiasi hiki? alafu kwanini anapenda kupokeapokea simu ya mkewe hata kama yupo jirani?ila mkuu mchunguze jamaa si ajabu anatabia y kudinya ovyo so anahisi na yeye wanamdinyia..
pole sana..
I agree. Remember than thin line, has its thickness. and how thick is that line, depends on the following; maisha yanaendeshwa kwa hisia zaidi au uhalisia? Unawaamini wengine kwa kiasi gani? Umeshawahi kupatwa na masaibu gani au umeshuhudia nani kapatwa na nini? Wewe mwenyewe tabia zako ni zipi? Usikute jamaa naye anamega kwingine.There is a thin line btn TRUTH AND LIES!!!!!!!!!!
Yaani hata mimi nimefika mahala naona huyu dada yupo kwenye ndoa tata sana kwasababu hata akiokoka katika hili sakata, huenda atakuja kuachika kwa kitu kingine kidogo tuu maana jamaa siyo muelewa
Mkuu ndicho nilichosema tangu mwanzo kuwa huyu jamaa yetu Mvaa Tai alishalikoroga tangu mwanzo...Amekuwa karibu mno na mke wa mtu bila sababu za msingi..Na kama unakumbuka lara 1 alishawahi kuleta mada jinsi watu wa maofisini wanavyotafunana muda wa mchana...I second the guy mwenye wivu kwa kuliona hili na hii italeta heshima kati ya muda wa nyumbani na ofisini...Wakati mwingine kabla ya kulaumu tujaribu na sisi wenyewe kujiweka kwenye nafasi ya wengine...nimesafir..narudi unampigia simu mkewangu..usiku..huongei...na kwa nini namba ya mkewangu iwe bookmarked kwenye simu yako kwa kiwango hicho??
wewe unaelezwa ukweli lakini mbishi. Unaambiwa acha kuzoea kuwasiliana nasi mara kwa mara tulioolewa kaka ni hatari
Mkubwa, watu jamii ya Lara 1 hili wanali-overlook, hivi mnadhani kwa nini mke wa huyu jamaa yetu yeye hana wasiwasi na mumewe? Mawasiliano ni ya pande mbili, lakini ndoa yenye shida kwa sababu ya mawasiliano hayo ni moja, why? Ni uelewa wa mambo. Si kila anayeongea na mkeo/mumeo basi anakuchukulia. Wengine washakosa ma-deal makubwa maishani mwao kwa kukosa busala kama huyu bwana mawivu.Amesema hata yeye huwa anapigiwa simu ama kutumiwa sms na huyo mdada...ni two ways traffic. Yaani hana uhusiano naye wa kimapenzi!!
Amesema hata yeye huwa anapigiwa simu ama kutumiwa sms na huyo mdada...ni two ways traffic. Yaani hana uhusiano naye wa kimapenzi!!
mme wake mjinga,achana nae,huna kosa.Mwanaume unazira?!!!!
Huyo mwanaume co mjinga kaona mabadiliko ya mkewe ktk nyanja tofaut huwez juwa ndio maana kakukomalia ww.Jifunze kuish na watu tofaut itakusaidia sn lkn kwa hil umekosea pia na yy hawez kujua kuwa mtoto kakosea wkt no hyo anaihis vbaya.Hata ungelikuwa ww usingeamini hlo nakuona ni changa la macho.Unanifanya ht mm nikuhic vbaya coz kuna sehemu umesema unamshangaa yule mwanaume kupokea cm ya mkewe,hilo ww halikuhusu maana kila nyumba ina utaratibu wke.Badilika bwana hata km kazi.........ss watumie wafanyakaz wenzako wakusaidie hlo kwa huyo mwenye mali zke.
Tatizo wanaume wazinzi ndo wanakuwa na wivu wa kiivyo, anazani anavyofanya yeye kwa wake wa wenzie ndiyo yanafanyika kwa mkewe!