Navunja ndoa ya mtu!!!!

Navunja ndoa ya mtu!!!!

Mkuu umekosea sana kuwa close kiasi hicho na wife of somebody.ushauri kaa nae mbali kama coz unaweza kuchezea vitasa bila hata kujielewa wengi yameshawatokea kama hayo.usilinganishe jinsi wewe unavyomuhandle mkeo ukadhani wote wapo ivyo.stay away from her.
 
Mkuu umekosea sana kuwa close kiasi hicho na wife of somebody.ushauri kaa nae mbali coz unaweza kuchezea vitasa bila hata kujielewa wengi yameshawatokea kama hayo.usilinganishe jinsi wewe unavyomuhandle mkeo ukadhani wote wapo ivyo.stay away from her.
 
Pole sana haya yanatokea sana katika kazi hasa hizi za kuajiriwa, pole sana. Mumewe anatakiwa kuwa mwelewa ingawa katika mapenzi ni kawaida kuhisi wizi wizi tu na sijui kwa nini mara nyingi wanaume walio wengi hawapendi kuwa na imani na wake zao hasa walioajiriwa...

Ushauri, ongea na huyo mwanamke akuunganishe na rafiki wa karibu sana na jamaa na hata ikibidi wazazi wa mwanaume kama wapo au nduguze, ili uende ukaeleze kilichotokea na ikibidi uende na mkeo itakuongezea uzito na kuaminika katika hili, na with time hasira ya mume itapungua utaweza kukutanishwa naye wewe mkewe na mkeo umweleze kisa kizima, ili kama anayo sababu ya kumwacha mkewe sababu isiwe wewe bali sababu zingine azijuazo yeye mume...

Pole sana maana hata mimi ilishanitokea nikatafuta njia zote hadi nikakutana na mume wa huyo dada tukayamaliza, lakini yangu haikutoka na simu bali mdada fulani aliyekuwa amekaribishwa nyumbani kwa huyu mwingine (wadada wote nilikuwa nafanya nao kazi) ila huyu mmoja alikuwa mgeni mji ule akakaribishwa ili ajipange kupata kwake kumbe nadhani akamtani mume wa mwenzie akawa anatafuta namna ya kupata kwa kupita uwongo wa kumhusisha mkewe na mimi..
 
Jamaa wivu ndio unamsumbua,pia nahisi huwa mnawasiliana sana na mke wa jamaa mpaka kashatilia shaka namba yako ya simu.
cha msingi do all your best to help he lady, ndoa yake isivunjike.ikibidi stop mambo ya kusaidiana kazi bana,kila mtu afanye kazi zake alizoajiriwa kufanya.
stay away from that woman comrade,jamaa alivyo unaweza akakufanyizia ukabonyezwa kizenji ndugu yangu.
 
Teh teh ndo dada mmoja pale chuo ana mahusiano cjui na tcha ss genye cjui zilimzid akampgia tcha ucku saa 5 ss akapokea mkewe anaulizwa shida yke anaanza kusema course work yke hajajaziwa.......c uzush huo.
ha ha ha ha
 
Mwenye mke sio mjinga. Amehisi hatari, hata kama bado ila mnakoelekea sio kuzuri. Mara nyingi ukaribu wa kikazi huwa unasababisha uhusiano wa kimapenzi.

Atakuwa ameshafuatilia akaona miongoni mwa watu wanaompigia mkewe, wewe unaongoza. Hapo hata mimi ningejiuliza huo ukaribu wa kikazi vipi? Kaa mbali na mke wa mtu la sivyo utakuja kupata maumivu usiyotarajia
 
Wadau naombeni ushauri nimsaidieje huyu dada ili kuokoa ndoa yake maana jana amerudi nyumbani kwake lakini mmewe hamsemeshi kitu chochote, akijaribu kumuelewesha anamuambia aje kwangu yeye hataki kuishi naye, najisikia vibaya sana kwasababu mimi ndiyo chanzo na naofia maisha yangu kujisogeza kwenda kunusuru hii ndoa.
Mvaa Tai! Pole qa masaibu!
Kabla ya kumpa ushauri wowote chapa vitu Bana (Gegeda),
Hii itampunguzia maamivu ya kupigwa bila kosa;
Itakuondolea ghadabu ya kususiwa mwanamke.

Ukisha gegeda;
Rudi jamvini utuambie Mdada ameipokeaje Dhakari;
Mmerukiana mara ngapi katika machejo yenu;
Mmeheuka vipi?
Katikati ya mheuko, Bidada alikuwa akimsemaje mumewe.

Ukija na jibu la nyekundu nakupa ushauri wa kufa mtu.


Bazazi ni Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Angekataa kumfanyia huyu dada kaz zake angeenda kumpokea mumewe Airport!?
Angeacha kuzfanya kwa sababu kuna vitu havielewi na kuogopa kuwasiliana na huyu mama kesho arud ofisin akute km alivoiacha,ingekua ni bora zaid kwa mtazamo wenu?
Na km ni daily report ambayo lazima itumwe everyday je angesema nin huyu dada kwa bos wao kesho kazin?
Inawezekana hamjakutana na hii hal bado!

apa umemaliza kila kitu. Ni ngumu sana mtu atembee na mke wa mtu halafu aombe kukutanishwa na mume wa mtu na kumueleza mkewe kuhusu hiyo ishu hii ina maana yuko tayari kukutanishwa na mkewe akiwepo mbele ya jamaa na mke wa jamaa. Wakati mwingine si bora kuchukua maamuzi tukiwa na hasira kwani matokeo yake ni maamuzi mabaya. Ni rahisi zaidi kujua mkeo anauhusiano na mwanamume mwingine kuliko mwanamke kujua kuwa mumewe anamwanamume mwingine.

Jamaa ilitakiwa ajue wazi haiwezekani mtu mwenye uhusiano na mkewe ajue kuwa jamaa anarudi na wako pamoja airport wwanarudi nyumbani then ampigie mkewe na mke awe huru kupokea hiyo simu kwa muda wote na akawa anaongea bila kumkatia jamaa akliyempigia.

Jamani tuacheni wivu wakijinga tujenge uaminifu na tusichukua maamuzi tukiwa na hasira kwani tunapokuwa na hasira ibilisi anakuwa karibu yetu kumuoa au kuolewa isije ikawa eti tunanyimana uhuru wakuwasiliana na marafiki zetu wa kazini au nyumbani. Simu ya mumeo au mkeo ni ya kwake huwezi pokea bila ruhusa yake.
 
mme wake mjinga,achana nae,huna kosa.Mwanaume unazira?!!!!

Inaonekana hujaoa mkuu, kama umeoa hujui uchungu wa hivi vitu, kama unajua hayajakupata na kama yameshakupata humpendi mkeo.
 
asante sana kasimba. Watu wanacomment bila kusoma na kuielewa vizuri hii issue. Kilichomponza jamaa ni kujitolea kumsaidia dada kazi zake ili aweze kwenda kumpokea mume. Asingejitolea ins maana hata huko airport asingeenda.

Na mleta nada amesema alikuwa akiwasiliana na dada on her way to the airport sio from the airport kilicholeta tatizo ni simu iliyopigwa later na mtoto, wenye Watoto wanaelewa kuwa hili huwa linatokea.

Tatizo ni wivu wa kijinga wa huyo mwanaume na uoga wa kipumbavu wa huyo dada. Alitakiwa kumuonyesha mumewe kuwa kazi yake inahitaji afanye kazi hata Baada ya saa za kazi na Siku nyingine anamanage kuwa naye mapema kwa kuwa kuna watu wanamsaidia na wanapokuwa wakimsaidia ni lazima wamconsult wanapokwama. Sasa mume achague kati ya dada kukaa kazini hadi saa 2 au anapopata mtu aliye tayari kumsaidia, arudi home ila akubali kupigiwa simu.

Kuna watakaouliza kwa nini mleta uzi huwa yupo tayari kujitolea Mara nyingi, hili anaweza kulijibu mvaa tai mwenyewe, ila sijaona kwa nini mtu alaumiwe na kuhukumiwa kwa jambo jema alilofanya, maana hadi hapo hatujajua kama alikuwa na I'll intentions kwa kumsaidia huyo dada.

apa umemaliza kila kitu. Ni ngumu sana mtu atembee na mke wa mtu halafu aombe kukutanishwa na mume wa mtu na kumueleza mkewe kuhusu hiyo ishu hii ina maana yuko tayari kukutanishwa na mkewe akiwepo mbele ya jamaa na mke wa jamaa. Wakati mwingine si bora kuchukua maamuzi tukiwa na hasira kwani matokeo yake ni maamuzi mabaya. Ni rahisi zaidi kujua mkeo anauhusiano na mwanamume mwingine kuliko mwanamke kujua kuwa mumewe anamwanamume mwingine.

Jamaa ilitakiwa ajue wazi haiwezekani mtu mwenye uhusiano na mkewe ajue kuwa jamaa anarudi na wako pamoja airport wwanarudi nyumbani then ampigie mkewe na mke awe huru kupokea hiyo simu kwa muda wote na akawa anaongea bila kumkatia jamaa akliyempigia.

Jamani tuacheni wivu wakijinga tujenge uaminifu na tusichukua maamuzi tukiwa na hasira kwani tunapokuwa na hasira ibilisi anakuwa karibu yetu kumuoa au kuolewa isije ikawa eti tunanyimana uhuru wakuwasiliana na marafiki zetu wa kazini au nyumbani. Simu ya mumeo au mkeo ni ya kwake huwezi pokea bila ruhusa yake.
 
Hata mim hili nimelishangaa mama angu husema "MUME/MKE WA KWANZA NI KAZI YAKO"
kwa mujibu wa huu hata iweje usiache kaz yako ambao ndo urith walokupa wazaz wako kupitia elimu kisa kumrithisha mwenz wako naye anapaswa kuithamin na kuishem kaz yako na wewe vile vile!
Hao wazazi wako wasingeheshimiana wewe ungepata wapi jeuri ya kujivunia wao?
 
Jamaa atakuwa anajua tabia zamkewe. Si ajabu sekeseke kama hilo lilishawahi kutokea ndani ya ndoa yao na jamaa akajua kuwa mkewe anamegwa. So this time akajua mambo yamerejea kule kule....
 
Back
Top Bottom