Navunja ndoa ya mtu!!!!

Navunja ndoa ya mtu!!!!

Teh teh ndo dada mmoja pale chuo ana mahusiano cjui na tcha ss genye cjui zilimzid akampgia tcha ucku saa 5 ss akapokea mkewe anaulizwa shida yke anaanza kusema course work yke hajajaziwa.......c uzush huo.
 
umeona eeh?

It doesn't make sense

ukishaona mke wa mtu ama mme wa mtu hataki uwe karibu na mkewe ama mmewe, mbona kukaa mbali nao ni jambo la busara sana?

Wivu wa mapenzi achana nao, mnaweza uana bure. Kama hauli mzigo bora kukaa mbali, kasheshe ni kama unakula mzigo ndio unashindwa kukaa mbali naye.

Afu mie nikiwa likizo sitaki mtu aniulize mambo ya kazi na mie huwa siulizi ulizi.

Teh teh ndo dada mmoja pale chuo ana mahusiano cjui na tcha ss genye cjui zilimzid akampgia tcha ucku saa 5 ss akapokea mkewe anaulizwa shida yke anaanza kusema course work yke hajajaziwa.......c uzush huo.
 
too much coincidence. .

Kwani lazima uwasialiane naye? Si bora kazi zilale?

Kwa wanawake walioolewa mme ndo ajira ya kwanza.

Na kumbuka 'mke' mtamu

Mkuu hapa umenisaidia
 
Mwambie huyo dada atafute watu wazima wamkalishe wamueleze ukweli na wewe uitwe na mkeo awepo!
 
Looh!! makubwa haya

Ndo maana yke.........Heshimu mume,na kaz pia.Unaweza kuta cku alishawahi kuwa katikat ya game na mumewe ndo anakaribia mambo yke ww tena unapga na inshu zko mke
kachomoa anackiliza cm yko.Ndio maana wanaume wenye akil ndogo wanakataza wake zao wasifanye kazi na wkt mwingine ht kusoma.
 
Lakini tumesikia upande mmoja wa na bin adam sisi tunapenda sana kuonekana tumeonewa,inawezekana kuna la zaidi baada kustukiwa una neutralise ,dunia imeisha na watu maofisini wanacheza sana na wake za watu sababu ya kuwazoea na kuwa nao karibu!ni kazi kubwa sana!
 
ACHA MAMBO ZAKO WEWE!!!!!!!!!! Kazi gani MNAONGEA HADI USIKU!!!!!! Nyamaaaaff!!!!!!!! Wewe ndo mwenye tabia CHAFU ya kutumia kigezo cha kazi kuendeleza mahusiano yasiyo rasmi na mke wa mwenzio!!!!!!!! Ndio mnafanya kazi ila mida ya kaz si Asubuhi hadi Saa 11 kwa nyie wajenzi wa taifa hata saa 2usiku si mbaya!!!!!! Ila wewe usivo na soni saa 4 wampigia mke wa mtu kisa Kazi!!!!!!!!!!!

Aaaaaaaaaah! Give us a break bana!We sema ukweli tu pamoja na kazi kuna kielement cha EVIL INTENTIONS na unajisikia raha kuongea na huyo dada, basi kakitokea kasababu tu ushamuendea hewani!Mimi simu yangu ya kikazi saa 11 kamili NAIZIMAAAA hadi kesho yake! Kazi haziishagi zitaendelea kesho! Dharura zitajiju manake nikiwaendekeza maboss kama nyie utafanya kaz hadi jumapili!!!!!!!!!

Kubali kuwa ulilofanya ni unyanyasaji wa kiofisi! Hadi mtoto kuipiga ile namba manake imekaa juu juu kwa kupigwa sanaaa! Ifike Mahali mabosi muheshimu ndoa za wenzenu! Sio kisa ndo boss kila dakika wapiga piga tuuuu!!!!!!!! Haya Mchukue ufanye nae kazi vizuri basi masaa 24 piga saa hivi!

Huyo mumewe sio mpuuzi wala mjinga kufikia uamuzi huo! HUYU KUNA MIPAKA ALIVUKA SEMA HASEMI TU HUMU!!!!!!!!

Lara1 leo umekurupuks sana na kuishia kummwagia vumba la samaki Mvaa tai.

Ni wrwe juzi hapa uligeuka PA wa diva loveness na kuwasihi watu wasihukumu kwa kutoujua ukweli na hata mtu kama kakosea apewe ushauri na second chance bt cha ajabu leo umemrukia mtu na kumshukia,hujawahi kusababisha mtu atende kosa?? Jitathimin hapo kazini tu kama wewe ni nusu ya malaika mbele ya wenzii.

Inafahamika una beef na mabosi lakini mvaa tai hastahili michano balu advice,au nae last year alikuwemo kwenye cabibet ya promotion ya wafanyakazi???!! Ni mawazi tu!!
 
Ndo maana dada zetu wanakimbilia kutoa matangazo gazetini ya kutafuta wazungu!

Jamaa hana akili. Kama huyo dada huwa amchiti, je siku akianza kumchiti atamlaumu nani?

tuache kuabudu wazungu!
 
pole sana ,kwanza hilo jitu pumbavu , tafuta watu wake wa karibu ,au familia yake mwanaume ,uwaaelezee cos hilo n tatizo , huenda ikawa solution ,yaan watu wazima wenye busara za kuongea nae..
 
Lara1 leo umekurupuks sana na kuishia kummwagia vumba la samaki Mvaa tai.

Ni wrwe juzi hapa uligeuka PA wa diva loveness na kuwasihi watu wasihukumu kwa kutoujua ukweli na hata mtu kama kakosea apewe ushauri na second chance bt cha ajabu leo umemrukia mtu na kumshukia,hujawahi kusababisha mtu atende kosa?? Jitathimin hapo kazini tu kama wewe ni nusu ya malaika mbele ya wenzii.

Inafahamika una beef na mabosi lakini mvaa tai hastahili michano balu advice,au nae last year alikuwemo kwenye cabibet ya promotion ya wafanyakazi???!! Ni mawazi tu!!

Aaaaaaaah wapi!!!!!!! Huyu bwana tai mimi na yeye tu leo!!!!!!!!!1

Haiingii akilini UMPIGIE MKE WA MTU MIDA YA MUMEWE AFU UTEGEMEE MUMEWE AFURAHIE!!!!!!!! We mtu anaenda airport kwa mumewe njia nzima wewe tu hewani??????????

Nasema hiviiii! Mambo ya kazi ni muda wa kazi! Quality time ya mume ni quality time ya mume!!!!!! Vya Kaisari apewe kaisari na vya Mume apewe mume!!!!!!
 
Lakini tumesikia upande mmoja wa na bin adam sisi tunapenda sana kuonekana tumeonewa,inawezekana kuna la zaidi baada kustukiwa una neutralise ,dunia imeisha na watu maofisini wanacheza sana na wake za watu sababu ya kuwazoea na kuwa nao karibu!ni kazi kubwa sana!
Sikatai maofisini haya mambo yapo sana tu, ndiyo maana nimehitaji nikutane na huyu jamaa face to face nijieleze ikiwezekana hata mbele ya elders.
 
Lara1 leo umekurupuks sana na kuishia kummwagia vumba la samaki Mvaa tai.

Ni wrwe juzi hapa uligeuka PA wa diva loveness na kuwasihi watu wasihukumu kwa kutoujua ukweli na hata mtu kama kakosea apewe ushauri na second chance bt cha ajabu leo umemrukia mtu na kumshukia,hujawahi kusababisha mtu atende kosa?? Jitathimin hapo kazini tu kama wewe ni nusu ya malaika mbele ya wenzii.

Inafahamika una beef na mabosi lakini mvaa tai hastahili michano balu advice,au nae last year alikuwemo kwenye cabibet ya promotion ya wafanyakazi???!! Ni mawazi tu!!

Well said mkuu
 
pole sana ,kwanza hilo jitu pumbavu , tafuta watu wake wa karibu ,au familia yake mwanaume ,uwaaelezee cos hilo n tatizo , huenda ikawa solution ,yaan watu wazima wenye busara za kuongea nae..

Thanks mkuu
 
Aaaaaaaah wapi!!!!!!! Huyu bwana tai mimi na yeye tu leo!!!!!!!!!1

Haiingii akilini UMPIGIE MKE WA MTU MIDA YA MUMEWE AFU UTEGEMEE MUMEWE AFURAHIE!!!!!!!! We mtu anaenda airport kwa mumewe njia nzima wewe tu hewani??????????

Nasema hiviiii! Mambo ya kazi ni muda wa kazi! Quality time ya mume ni quality time ya mume!!!!!! Vya Kaisari apewe kaisari na vya Mume apewe mume!!!!!!

Nilipata ruhusa ya kufanya hivi, na hata mimi huwa naruhusu mtu aulize jambo nikiwa nimemuachia kazi anisaidie
 
Huyo mume wa huyo dada ni kilaza kweli!
 
Back
Top Bottom