Mvaa Tai,
Naomba ninukuu maneno yako:
Wadau mwenzenu nipo kwenye wakati mgumu sana psychologicaly, kuna dada anataka kuachika kwasababu yangu ilihali hana kosa lolote....Ishu iko hivi Kuna dada(mke wa mtu) nipo naye karibu sana kikazi..."
Nimeweka msisitizo kwenye hiyo sentensi na hasa neno 'Ukaribu sana'. Turudi kwenye mada halisi, kutokana na maneno yako inaonekana 'huo ukaribu sana' si wa kawaida katika macho ya binadamu. Kumbuka huyo ni mke wa mtu na nyiye mmezungukwa na jamii. Mtu hawezi mnyima mtu mwingine neno. Yaonyesha mume wa huyo dada kisha fikishiwa maneno ya huo ukaribu wenu. Angalia sana bwana mdogo mambo ya kujishebedua na wake za watu utafikiri mko shule ya sekondari yatakutokea puani. Pili, mtu yupo likizo, ukiw unajua maana ya likizo huwezi kurupuka na kumpigia mtu eti 'i am seeking some clarification', je hiyo ofisi yenu haina watu wengine wenyekuweza kutoa ufafanuzi? matendo mzee, matendo yako yanaonyesha mikono yako si misafi pengine bila kujua kwamba wewe si msafi.
Tafakari, chukua hatua!!
Wasalaam,
Shadow.