Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,035
- 13,680
Nauza vitu vyangu mwenyewe akuna darali nahamama nchini Tanzania nakwenda kikazi America "United States of America "karbu ujipatie vitu Kwa bei nzuri Sana.
Karibu PM
Karibu PM
Njoo PMYan hapo mkuu ukiamka tu unaona mali zako zooote bila hata kuinuka, mm nataka meza hiyo.
Karibu PM na ofa yakoForonya bei gani
yess BiShoo haswaaAaa
Hipi?!? Ishike!hiyo ni godoro au
👀👀
Mbona sijaona vitu hapo naona takataka tu,hapo ukiuza sidhan kama utapata hata nauli ya kufika msamvu...zaid sana choma moto tu hizo taka takaNauza vitu vyangu mwenyewe akuna darali nahamama nchini Tanzania nakwenda kikazi America "United States of America "karbu ujipatie vitu Kwa bei nzuri Sana.
Karibu PMView attachment 1357078
Au sio!!Mbona sijaona vitu hapo naona takataka tu,hapo ukiuza sidhan kama utapata hata nauli ya kufika msamvu...zaid sana choma moto tu hizo taka taka