Nauza vitu vyangu vya ndani, nimepata mchongo wa kubeba box

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,010
13,633
Nauza vitu vyangu mwenyewe akuna darali nahamama nchini Tanzania nakwenda kikazi America "United States of America "karbu ujipatie vitu Kwa bei nzuri Sana.

Karibu PM
FB_IMG_1581672038411.jpg
 
...ungo dikoda mwendo DSTv, zinga la tV na deki ya DVD, bonge la mziki linatwanga tu CD,

na hakuna feni, full time ni AC, na ilo ni la dom tu, acha la Dar, home Temeke, mwanaJF unapokaa !
 
Watoto wa ki-sure bana, yaani anaona raha kulala chini km hivi, anakula mihogo! tena uswahiliniii, maisha haya kwake ni mapya anajionea sawa tu! duuu! mnajulikana kirahisi. sasa yule wa mbwinde asiye jua ku mbonji Ghorofani mmmmm!
 
Back
Top Bottom