nauza simu aina ya sumsungb.berry,huawei n.k

ALLY RIYAMI

Senior Member
May 26, 2012
115
15
naitwa ally ni mwanafunzi wa UDSM mwaka wa tatu nauza simu aina tofauti kama sumsung galax s1-250,s2-350,s3-650,s4-850,note 1-450,note 2-700,note 3-mil1.3,pia kuna huawei 150,sumsung duos 250,na digital camera cassio 16mplx-300,(3digits means laki) call me 0652740304
 
Wa chuo kikuu lakini kujieleza sasa matatizo
simu hii sumsung unayouza wewe nadhani
bila shaka ni Mchina.

Ulikusudia samsung sijui ?
Panga bandiko lako vizuri lieleweke
 
Ally, unakimbizwa? Panga vizuri tangazo lako ili lieleweke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom