Naskia inakuongezea muda wa kuishi duniani, na muda wako wa kuvuta ukifika mshale unaacha kusomaInaongeza weekend Moja mbele?
Asante sana mumama wangumda wa kumnunulia chibaba wangu zawadi ya Eid na pasaka,,,
akikosekana mteja wa fasta ukashusha bei kidogo unipasie mkuu
Sio kila biashara inaitaji utoe elimu biashara nyingine mteja anakuwa na elimu tiari mfano jewelry hii ni 600,000 we unafikiri mpaka mtu atoe hiyo pesa anaitaji umuelimishe 😳Weka sifa zake kidogo, elimisha wateja wako ndugu...watu wajue inatofauti gani na saa za 60,000/=
Sio kila biashara inaitaji utoe elimu biashara nyingine mteja anakuwa na elimu tiari mfano jewelry hii ni 600,000 we unafikiri mpaka mtu atoe hiyo pesa anaitaji umuelimishe
Mfanyabiashara Mbabe sana Boss...Sio kila biashara inaitaji utoe elimu biashara nyingine mteja anakuwa na elimu tiari mfano jewelry hii ni 600,000 we unafikiri mpaka mtu atoe hiyo pesa anaitaji umuelimishe 😳
Last time ulikuwa na moja Kali sana!Wagonjwa wa saa hapo mate yametutoka
Ova