Nauza rupia yenye picha simba kasimamisha mguu moja

Nauza rupia yenye picha simba kasimamisha mguu moja

D2050

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
1,958
Reaction score
1,190
mwenye kuhitaji pesa aina ya rupia ninayo nauza.hii rupia picha yake ina mtende na simba mmoja kasimamisha mguu mmoja.ya mwaka 1892
nyingine inamtende na simba wawili
 
Haaa Haaa Haaa
Mkuu mambo haya magumu pia Mwaka wa Uchaguzi huu kutoa hofu tahadhali fanya mpango sasa wa picha
 
nimeziifazi kwa babu kijijini songea.anaezihitaji ani pm.siyo masikhara ninazo
 
mwenye kuhitaji pesa aina ya rupia ninayo nauza.hii rupia picha yake ina mtende na simba mmoja kasimamisha mguu mmoja.ya mwaka 1892
nyingine inamtende na simba wawili

Usiiuze baki nayo itakufanya uwe waziri wa nanihii, mwenzio ninayo yenye picha ya Simba ana macho mawili anatabasamu siiuzi ng'oo hadi nipate uraisi. Teh teh teh
 
Mkuu kama ni kweli umeshindwa nini kutafuta soko mbona unayumezesha mate bila mpango
 
What values it has? May be kwa wapiga ramli maake watakuambia leta kuku mwenye matege, mbuzi asiwe kuwa baka, rupia ya simba nk ili mradi ushindwe umpe hela akutafutie.
 
Wezi bana... Embu weka picha yake maana hata mie pia nnayo na ina mwili wa simba afu kwenye kichwa cha simba kimewekwa kichwa chako
 
mwenye kuhitaji pesa aina ya rupia ninayo nauza.hii rupia picha yake ina mtende na simba mmoja kasimamisha mguu mmoja.ya mwaka 1892
nyingine inamtende na simba wawili

ka harufu kautapelii kaleeeeeee hakuna aliyewah kufanikiwa hizo dili ishia hapo hapo.
 
We huna adabu kweli.
Yaani Juzi tumefungwa na Mbeya City halafu leo unatusimamisha Mguu mmoja?
Sio bure umetumwa na Manji wewe.

Edited: Alaa kumbe ni pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom