Senior Lecturer
Senior Member
- Jan 19, 2013
- 177
- 74
Wana Jamii habari za Jumamosi! Nauza vitu vifuatavyo, kwa mwenye kuhitaji, 0717210880:
Kama vp ni-pm!
- Piki piki au Boda boda, hii imetumika, ilinunuliwa mwezi June, 2013, ipo ktk hali nzuri na inaendelea kufanya kazi, ipo kibaha!
- Shule ya Msingi, ipo Arusha, ina usajili, ina hati, fenced!
- King'amuzi cha Star tymes, antenna yake na wire/cable!
Kama vp ni-pm!