Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

Kama unachukua 3.7 mil tufanye biashara
 
jamaa ameweka taarifa zote muhimu, kazi kwenu wanunuzi,
labda tuanzie hapa mkuu haina tatizo lolote? na je sababu za kuuza ni nini? je unamhakikishia nini mnunuzi baada ya kununua?

Swali la maana ni hilo la kwanza pekeyake, hayo mengine ni mbwembwe zilizopitwa na wakati! Sababu za mtu kuuza kitu chake zinamuhusu nini mnunuzi, kama alishaambiwa gari haina tatizo bado anataka kujua kama muuzaji ameachana na mkewe kwa hiyo wanauza mali wagawana pesa...itamsaidia nini?!!!! Swali la mwisho mara nyingi jibu lake ni: "Nakuhakikishia kuwa sitarejesha pesa marra itakapoingia mfukoni mwangu!" Ndiyo maana unaponunua kitu third hand inabidi ufanye test drive, wewe nenda hata moro ukiw na fundi wako muikague gari mjiridhishe, siyo biashara ishafanyika halafu mtu anarudi anataka discount au kurejeshewa pesa kabsaa, private seller utakuwa unamwonea, labda kama ni show room!
 
Wana JF,
Nina mteja anahitaji kukunua Toyota Mark II AU Toyota Cresta GX 100 iwe na injini ya 1G. Isiwe ya VVTi. Iwe katika hali nzuri. Isiwe na rangi nyeupe pee... ikiwa na Pearly white sawa au rangi nyingine nyingine... Bajeti ya mteja wangu ni shilingi 5mil. Ikiwa unayo nijulishe kwa kupiga au kutuma ujumbe mfupi katika simu hii 0755312233.
 
used locally, ipo Dar es Salaam Bei shs 40,000,000/=, na ni ya kushauriana, imelipiwa ushuhuru, automatic, inatumia mafuta aina ya petrol, imeundwa mwaka 2006, imetembea kilomita 53,000, 4 wheel au uendehsaji wa gurudumu 4, right drive au uendeshaji wa upande wa kulia, milango mitano, kiwango cha injini 2000cc,
Mambo Mengine:
Interior Features
Air Conditioning, CD Player, Center Arm Rest, Climate Control, Cruise Control
Digital Clock, Inside Hood Release, Keyless Entry, Power Door Locks, Power Mirrors
Power Steering, Power Windows, Security System, Tachometer, Trip Odometer
Tilt Steering, Split Folding Rear Seats 4x4, Cloth Interior, Power Seat, Dual Climate Controls, Telescoping Steering Wheel, Anti-Starter, Auxiliary 12v Outlet, Leather Wrap Wheel, Rear Window Defogger, Reclining Seats, Remote Fuel Cover Release, Power, Adjustable Seat, Door Map Pockets, Console, Illuminated Visor Mirror
Exterior Features
Alloy Wheels, Rear Window Wiper, Tonneau Cover, Intermittent Wipers, Analog Gauges, Spoiler, Tinted Windows, Roof Rack, Premium and/or Oversized Wheels, Rear Mounted Spare

Safety Features
Daytime Running Lights, Power Brakes, Anti-Theft, Anti-Lock Brakes (ABS)
Dual Airbag, Child-Safety Locks, Power-Assist Disc Brakes, Passenger Airbag.
Mawasiliano/Whatsapp 0755312233
attachment.php
 

Attachments

  • DSCN5164.JPG
    DSCN5164.JPG
    30.9 KB · Views: 1,065
  • DSCN5159.JPG
    DSCN5159.JPG
    31.2 KB · Views: 275
  • DSCN5162.JPG
    DSCN5162.JPG
    30.7 KB · Views: 269
  • DSCN5163.JPG
    DSCN5163.JPG
    31.2 KB · Views: 260
wizi tu hii nchi kila mtu anataka aibe kwa hiyo ela nakupa hizo gari tatu ( 3 )
 
wizi tu hii nchi kila mtu anataka aibe kwa hiyo ela nakupa hizo gari tatu ( 3 )

unajua nini Bob,kuna wajinga wanafikiri kila mbongo ni mburula,hajui lolote lile,mi nawaangalia tu,yaani rav4 mil40??,jombiiiii sio kihivyo
 
unajua nini Bob,kuna wajinga wanafikiri kila mbongo ni mburula,hajui lolote lile,mi nawaangalia tu,yaani rav4 mil40??,jombiiiii sio kihivyo
fuatilia matangazo ya huyu Kitomai ndio bei zake, huyu dalali wa ajabu sana!
Akiri una bei za dalali mwenzako?
 
Last edited by a moderator:
Hapa sijaua, 40m kwa cc2000, body, seats zake, tires au jina. Kwa gar yote haiwezi kuuzwa bei hiyo,otherwise labda it has a special Engine ambayo ndo hiyo inayouzwa 40m,tuulize, kuna engine ya nn RR, ferrar, Lamborghini,au posche?, hapo kwenye cc rekebisha kidogo, hakuna cc 2000 inayouzwa bei hiyo.
 
m40 ni kama AUD 27,500 unapata gari mpyaa ya kilometre sifuri ya mwaka 2010, Rav 4 new model
 
kwa bei hiyo utapiga nayo picha mpaka kiama kije....:A S-confused1:
 
Nyie pigeni kelele sasahivi mtaambiwa "SOLD..... SOLD...... SOLD......" Hahahahaah just kidding
 
Back
Top Bottom