Hongera mkuu hii ni bei nzuri kabisaBei inategemeana na ukubwa wa kuku ila Kuna wapo wa 15,13 hawa ni majogoo na matetea ni 13,12
Hata wawili unatuma unawaweka Kwenye EstaEbwana tunaanza tuma kuanzia kumi ndugu yangu
Nipo dar mnaweza kunitumia watanoTupo singida ndugu