Nauza Kiwanja!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza Kiwanja!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by masopakyindi, May 26, 2012.

 1. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  View attachment 54647 View attachment 54648
  Wadau rigwaride ilmenishinda!
  Nauza kiwanja sawa na bure huko Ununio usawa wa Bahari.
  Nishaweka nguzo za mipaka(posti iko katikati)
  Jirani yangu Massawe baada ya kupata bingo hakuchukua tahadhari sasa aningia nyumbani kwa boti!!
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Weka bei mkuu!
   
 3. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Wewe ni wa ajabu kweli kweli. Ameisha kwambia hicho kiwanja kina matatizo ya maji kama jirani yake anaingia nyumbani kwake kwa boti na wewe sasa unaulizia bei ununue hicho kiwanja ili uwe unaingia kwa meli au?

  Tiba
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ILI UPATE MNUNUZI NUNUA HELKOPTA UUUZE KWA PAMOJA!!:music:
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Unauza kiwanja? Au unauza Tindiga!
   
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  andaa na life jackets kaka! itasaidia kwa sisi wenye watoto wadogo!
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kiwanja au bonde la mpunga...
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha Wazo zuri!
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha!
  Hii nimeipenda,usalama kwanza!
   
 10. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Jamaa anauza bwawa!!
   
 11. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Kiwanja hakina shida sana. Kiko babarani na ukiwa na feri lako hata vibaka wanakuona kwa darubini tu.
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Umevamia mkondo wa maji
   
 13. Sibonike

  Sibonike JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 10,266
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Subiri wakati wa kiangazi utawapata tu na ufanye mauzo kupitia kwa dalali !
   
 14. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ni maeneo gani hayo kaka?....toa maelezo ya kutosha watu wakamate ardhi hivyo hivyo, tutajenga kibondebonde kama jamaa zetu wa kuleee...!
   
 15. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nikupe laki 1 sasa hivi
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Taja bei mkuu,hapo mbona kazi rahisi sana,nakuja na dogo mmoja tu wa udachini anayesomea Flood Management(na wala si mtaalamu aliyebobea) ananimalizia kila kitu na wewe uliyeniuzia ukirudi wala hutaamini kama palikuwa kwako..
   
 17. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  kwa sasa nina hela ya kununua cm tu
  hiyo iliyobaki kwenye pochi langu hapo angalia kama inatosha
   
 18. Kijuso

  Kijuso Senior Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 161
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mie nimefika laki 2,tukutane kesho kama uko tayari
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  La! NI natural swiming pool!
   
Loading...