excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,449 Reaction score 17,918 Mar 17, 2025 #1 wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule π Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule π Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,761 Reaction score 21,184 Mar 17, 2025 #2 Down To Earth said: wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule π Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555 Click to expand... Kila la kheri mkuu!
Down To Earth said: wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule π Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555 Click to expand... Kila la kheri mkuu!
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,334 Reaction score 57,157 Mar 17, 2025 #3 hata mimi nakiona hapo
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,013 Mar 17, 2025 #4 20 kwa 20 dar iwe buku 4 sawa na misungwi? Kuna harufu Fulani, Bora useme m10
majam19 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2024 Posts 1,715 Reaction score 1,973 Mar 17, 2025 #5 4 iliyoonyoka Down To Earth said: wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule π Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555 Click to expand...
4 iliyoonyoka Down To Earth said: wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule π Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555 Click to expand...
Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 1,766 Reaction score 3,499 Mar 17, 2025 #6 Kina vyeti gani hicho kiwanda cha nilioni 4 cash?
dalalitz JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 3,476 Reaction score 2,086 Mar 17, 2025 #7 JF wamejaa wadhihaki watu. Watakuuliza msururu wa maswali na kejeli juu lakini, hakuna kitakachoendelea cha maaana. Niamini mimi. Nitafute nikupambanie ikikupendeza: +255714591548.
JF wamejaa wadhihaki watu. Watakuuliza msururu wa maswali na kejeli juu lakini, hakuna kitakachoendelea cha maaana. Niamini mimi. Nitafute nikupambanie ikikupendeza: +255714591548.