Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Nilinunua mpya kabisa kutoka ujerumani, nimetumia miezi sita tu. nauza milioni 48. kiukweli haipungui bei kabisa kwakuwa naiamini sana hii gari. napatikana msasani, nauza kwakuwa nimeagiza gari nyingine inaingia mapema mwakan. tuma pm kama unahitaji

Halafu mnasema Tanzania kuna umaskini?
Iko Wapi sasa biashara ya maneno hamnaga asee ....weka picha mkuu
gari mpya kabisa, kama hauijui ingia google
gari mpya kabisa, kama hauijui ingia google
Umeagiza gari gani?
Mkuu;
Ni ya kwako kweli? Hata kama we ni middle man au umeambiwa kwamba kuna mtu anauza x5 sema tu.. Maana hata picha au detailed specs hajakutumia!
ukiweka picha unipm naweza nikamnunulia rafik yangu wa karibu
Mpya kabisa means ya Mwaka huu??
Dah.....wewe bana....
View attachment 128623Mkuu kama hii mimi nakaa msasani ningeiona hata namanga ikipita bora kuondoa doubt weka details zake
Umeagiza gari gani?
ni ya 2013 mkuu, nilinunulia ujerumani. karbu uione