Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,478
swali la kipuuzi..................
Ukishindwa kulijibu haliwezi kuwa la kipuuzi. Mi nishafanya kazi na watu wa Sales/Marketing kwa karibu kabisa, na mtu kashapata tuzo kubwa sana kiasi mpaka regional manager akaja kumpa tuzo.
Akaulizwa siri ya ushindi, phone directory.
Sasa katika ulimwengu wa leo wa watu wanaoijua hela, huwezi kuuza bidhaa tu kwa pesa bila kuelezea kuna "added value" gani over and above what is available publicly and almost free.