Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,420
- 154,854
unahangaika kujustify upuuzi aisee..... that was a stupid question
Upuuzi ni kung'ang'ania kusema kitu ni cha kipuuzi bila kuonyesha upuuzi uko wapi, despite kupewa nafasi kadhaa.
In any case umeshindwa kwenda toe to toe, unaleta hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja.