Nauza Bati zilizotumika (USED)

Nauza Bati zilizotumika (USED)

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,449
Reaction score
2,496
Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini.

Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini.

Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi
Mpigie 0653066813
 
Attachments

  • IMG-20250720-WA0042.jpg
    IMG-20250720-WA0042.jpg
    82.8 KB · Views: 13
  • IMG-20250720-WA0043.jpg
    IMG-20250720-WA0043.jpg
    149.9 KB · Views: 17
Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini.

Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini.

Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi
Ulizipata wapi mkuu? Kwasababu kuna malalamiko mengi Sana maeneo ya malamba bati kupotea.
 
Back
Top Bottom