Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,228
- 60,548
Msumari mmoja lakini Sumari nene kama NondoWakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini.
Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini.
Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi
Mpigie 0653066813