Hapa umejaribu kugusia vitu vimavyoweza kuingusha CCM.
Bado hujataja vizuri sababu zinazoiweka CCM madarakani. Na hizi ndizo zitaiondoa
Mwisho wa CCM utamalizwa na katiba mpya na tume huru pekee mkuu! Vinginevyo haya manyang'au yatazidi kutuminya..Kwa haya yanayofanywa na ccm waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.
Kama sio kuchafua uchaguzi mkuu uliopita leo ccm ingekuwa marehemu hayati siku nyingi sanaKwa haya yanayofanywa na CCM waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi Watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.
Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).CCM huenda bado inapendwa, haina haja kuogopa ushindani wa kweli kwanini isijipime?
Bila katiba mpya wananchi tususie chaguzi zijazo mpaka maombi yetu yakubaliwe!Mwisho wa CCM utamalizwa na katiba mpya na tume huru pekee mkuu! Vinginevyo haya manyang'au yatazidi kutuminya..
Kama haya yooote yalitokea yet tukajenga miradi ya trillions then undeestand the guy is smart!Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi...
Mtu yule ametia aibu kwa kweli!Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti)...
Inasikitisha sana.Kigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.
Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.
18 Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.
3.9 Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.
Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Ndio maana,pesa inakusanywa na bado tunakopa.Hii ni picha ya kihindiKigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.
Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.
18 Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.
3.9 Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.
Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Hiyo ndo ilikuwa style ya kupiga hela ya mwendazake,anachota hela hazina bila kusign,ananunua ndege bila kutuonyesha risiti,chenchi anaichikichia.Kama haya yooote yalitokea yet tukajenga miradi ya trillions then undeestand the guy is smart!
Hata mfanye vipi hamwezi kuondoa legacy yake
hatari sanaKigwangala alitumia 172M kuandaa Kili challenge lakini pesa hizo hazijulikani zilitumikaje (hazina risiti).
Akaunti ya jeshi la zimamoto ilitumika kupitisha 261M. Yani watu walipiga "mchongo" wakakosa akaunti ya kupitishia, wakatumia akaunti ya zimamoto. Zilipoingia wakazitoa wakasepa. Just imagine watu wana ujasiri wa kupitisha pesa chafu kwenye akaunti ya jeshi? Halafu tunaambiwa mwendazake alinyoosha nchi.
Wasafi walipewa 140M, TBC 201M na Clouds 629M kutangaza tamasha la Urithi Festival. Lakini hakuna mkataba wala risiti yoyote ya kujustify malipo hayo.
18 Bil zilizokusanywa ktk wilaya 135 hazikufika serikalini. Yani zilikusanywa lakini wajanja wakalala nazo mbele.
3.9 Bil zilitolewa kukarabati ndege ya ATCL iliyopaki tangu mwaka 2015, lakini hela imeliwa na ndege haijakarabatibwa. Yani watu walitafuna milioni 3,900 halafu hawakupaka hata rangi.
Hayo ni baadhi tu ya "madudu" ya serikali takatifu ya mwendazake. Sijaongelea HESLB, TANAPA, TANROADS, SGR, Stligler's gorge, Stand ya Magufuli. Huko kuna madudu ya kutisha.
Wewe katiba mpya si mwarobaini wa matatizo yetu,Mwisho wa CCM utamalizwa na katiba mpya na tume huru pekee mkuu! Vinginevyo haya manyang'au yatazidi kutuminya..
CCM huwezi kuitoa madarakani kwa hii tume ya akina MaheraKwa haya yanayofanywa na CCM waelewe tu sisi wananchi sio wajinga tuliyaona waliyoyafanya tukayaona aliyoyafanya meko na tunaona wanayoyafanya sasa waelewe sisi Watanzania sasa sio wajinga tena tuna akili na tunauelewa mkubwa sana tukutane 2025.