Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 1,297
- 860
Ulifika mkuu?Sawa
Ulifika mkuu?Sawa
Ndio wanauza kwa bei ya jumlaDah hapo si unaweza hata pata kwa bei ya jumla!!! Kweli Dar kubwa siku hisi kuna machinjio ya kitimoto
Bei ya jumla wanauzaje?Ndio wanauza kwa bei ya jumla
Ulifika mkuu? Naona hapo chini waungwana wametiririkaNaulizia machiinjio ya kitimoto jamani katika Jiji hili la Dar es Salamaa
Vitimoto tunachja wenyewe njoo hapa ubungo ukimaliza daraja km unaenda mwenge upande wa sheli Kuna Chocho hapo zama utakuta wachina wanashughulika na 🐽🐷🐮.... Ila usotarajie kupata kongoro utumbo pua na machine za kiume 🤣🤣🤣🤣ni halali ya wachina wenyewe😁😁😁😁😁😁Naulizia machiinjio ya kitimoto jamani katika Jiji hili la Dar es Salamaa
Eeeh acha Bana aisee sasa m pumbu ndioo ugonjwa wangu niibie basiVitimoto tunachja wenyewe njoo hapa ubungo ukimaliza daraja km unaenda mwenge upande wa sheli Kuna Chocho hapo zama utakuta wachina wanashughulika na 🐽🐷🐮.... Ila usotarajie kupata kongoro utumbo pua na machine za kiume 🤣🤣🤣🤣ni halali ya wachina wenyewe😁😁😁😁😁😁
Kumbe biashara ni kubwa hiiVitimoto tunachja wenyewe njoo hapa ubungo ukimaliza daraja km unaenda mwenge upande wa sheli Kuna Chocho hapo zama utakuta wachina wanashughulika na 🐽🐷🐮.... Ila usotarajie kupata kongoro utumbo pua na machine za kiume 🤣🤣🤣🤣ni halali ya wachina wenyewe😁😁😁😁😁😁
Wachina wanagombea hiyo mali si rahisi ukakuta mazeeEeeh acha Bana aisee sasa m pumbu ndioo ugonjwa wangu niibie basi
Naonaa umeanza kutupa mifupa inofu kwa wachinaa kaziipo
Didy Kila mstari lazima kuwe na typing error 🫣🫣🫣🫣🫣Akila mtu kitimoto muheshimukwanza ana ongezq upakooo
Kumbe nikiweka mradi wangu Bagamoyo pesa ipo? Au wenyewe wananunua maeneo yakufugia tayari?Wachina wanagombea hiyo mali si rahisi ukakutabmazee
Kama mgeni wa Jf unaweza usimuelewe, ila wakongwe wanamuelewa vizuri tuu😆Didy Kila mstari lazima kuwe na typing error 🫣🫣🫣🫣🫣
Yeah tunachinjaga mara Moja Moja msikitiniJicheke. Kitimoto wanachinja waislamu?