Nauliza swali 60 inch LED Samsung Shillingi ngapi bongo?

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Messages
12,564
Points
2,000

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2009
12,564 2,000
Kama source yako ni Marekani...ni kwamba tv system ya USA haiko compatible na ya TZ!
Nadhani watu wengi hii kitu huwa hawaielewi, nadhani USA wao wanatumia system ya NTSC, wakati bongo ni PAL. Suala la voltage nalo saa ingine linakuwa ishu, bongo tunatwanga na 240V wakati USA wanatumia 110V labda hizo TV ziwe na voltage selector switch. Frequency bongo ni 50HZ, wakati USA ni 60HZ. Resolution: Tanzania's standard definition is 576 interlaces lines while US resolution is 480i.
 
Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
12,180
Points
2,000

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
12,180 2,000
mbona hamjajibu swali lake Natalia? Kauliza bei kwa bongo. Kwa uzoefu wangu, Samsung Led Tv ya 42" inauzwa kati ya 2.0m na 2.4m katika maduka mengi niliyouliza. Kwa hiyo 60" inaweza kuwa 3.5m or so! Sikununua Samsung kwa sbb niliegemea zaidi kwenye Bravia
 
Last edited by a moderator:

Kobello

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Messages
6,708
Points
2,000

Kobello

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2011
6,708 2,000
Nadhani watu wengi hii kitu huwa hawaielewi, nadhani USA wao wanatumia system ya NTSC, wakati bongo ni PAL. Suala la voltage nalo saa ingine linakuwa ishu, bongo tunatwanga na 240V wakati USA wanatumia 110V labda hizo TV ziwe na voltage selector switch. Frequency bongo ni 50HZ, wakati USA ni 60HZ. Resolution: Tanzania's standard definition is 576 interlaces lines while US resolution is 480i.
TVs karibu zote siku hizi ni multisystem na voltage zinakuwa 110 to 240 kwa hiyo kitu na boksi.
 
Forum statistics

Threads 1,392,869
Members 528,740
Posts 34,120,589
Top