Nauliza kwa nia njema tu: Hivi Gen Z Kenya wanataka nini?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands.

2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8

3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki

Sasa wanataka nini?
 
Katiba mpya 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands.

2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8

3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki

Sasa wanataka nini?
huenda hawajui wanachotaka na kabisa hawamjui adui yao.

inashangaza wanaheshimu ukomo wa muda wa maandamano katika siku kwa kujibu wa sheria, halafu eti wanaona ni haki yao kuvunja maduka, kuiba mali, kuchoma maduka na kuharibu miundombinu ilojengwa kwa kodi zao..
 
Na mtakufa mpaka mpate adabu kwasabu hamna adabu hamuheshimu Serekali
Wenyewe wanamahitaji mengi, kufa mbona si jambo geni? Au ni nchi ya kwanza raia kufa kwneye maandamano?

Nchi kibao tu raia wanakufa
 
Mbona wewe hufi wanakufa wengine tu.Mnawafanya wenzenu chambo
ZAMU YANGU BADO, JANA NILIPONA LKN ZAMU YANGU INAKUJA....HATUFI WOTE KWA MARA MOJA,,,,,, WE DIE IN
piecemeal
 
1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands.

2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8

3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki

Sasa wanataka nini?
finance bill ilikuja kupitishwa kimya kikya
 
1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands.

2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8

3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki

Sasa wanataka nini?
RUTO MUST GO
 
huenda hawajui wanachotaka na kabisa hawamjui adui yao.

inashangaza wanaheshimu ukomo wa muda wa maandamano katika siku kwa kujibu wa sheria, halafu eti wanaona ni haki yao kuvunja maduka, kuiba mali, kuchoma maduka na kuharibu miundombinu ilojengwa kwa kodi zao..
Iwapo duka unajua ni la chawa kama wewe kwanini lisichomwe moto kabisa?
 
Hata mimi nasubiri majibu mkuu, maana siwaelewi wanataka nini
 
1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands.

2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8

3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki

Sasa wanataka nini?

Walishatoa maagizo ya wanachokitaka, mfano amezungukwa na mawaziri baadhi yao wanafahamika ni mafisadi.
Kwenye maandamano ya mwanzo alifuta mawaziri wote kazi, hapo vijana wakatulia wakidhani amewaelewa, akaja kuteua mafisadi wanaofahamika, vijana wakamuambia watarudi barabarani
 
Back
Top Bottom