Nauliza kwa nia njema tu: Hivi Gen Z Kenya wanataka nini?

Nauliza kwa nia njema tu: Hivi Gen Z Kenya wanataka nini?

Wanadai haki lakini wanapora haki za wengine kwa kuvunja maduka ya wasio na hatia. Ajabu iliyoje?
 
Nadhani Police Kenya Inatakiwa Watulie, Haya maandamano hayawezi kua solved kwa Mabomu na Risasi.

Badala ya kuwazuia, Walitakiwa kuwalinda, hii ingefanya kuondoa tention na mandamano yangekosa mvuto hivo kuisha mapema
 
Wakenya si
1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands.

2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8

3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki


Sasa wanataka nini?
Wakenya sio maiti na vilaza Mazezeta kama watanzania
 
Back
Top Bottom