Nauliza hiviiiiiiii Kiti Moto ni....

toa gambe weka gambe.nguruwe no ngamia no.mtume kala ngamia yesu bado nafuatilia kama kagonga mdudu.yote kw yote hakuna haram kwenye msosi,kamua vile uweza vyo.ngamia sijawahi kumgonga ila nikimpata nakamua.wanafiki wakae na unafiki wao
 
hakuna cha misaafu, wala nini, kuna watu hudhani kitimoto ni dhambi kubwa kuliko uchawi, uganga, kupiga ramli, uwongo, uuaji , ufiraji nk.
mimi nakula nao pale B Bar, nimewazoea, huwa tunagonga kama kawa.
daaah , waache nitoke nikajidunge huyu mdudu.
Sawa umenena ya kweli ila tafsida muhimu,kwenye blue hapo
 
Mwenyewe nimetamani na hii mimba ndio shida tena ukitamani kitu kinakuwa kwenye akili yako siku nzima.
 
Basi watu waache unafiki eti kiti moto kharam. Ila mimi sijawahi kula hata siku moja. Sio kwamba mi msilamu hapana ila sina mzuka nayo tu. Kinachonishangaza jamaa zetu wanajificha wakila hii kitu.
...Ni kama mimi ninavyoshangaa hata hao wanaouuza hiyo "hot chair" wanavyojificha na vibanda vyao..Kama ni halali si wauze kwa uwazi kama tuonavyo mabucha ya nyama ya ng'ombe yamepangana mwenge pale au meza za samaki ferry kule.. Uchu tu hamna lolote!!
 
shetani amevifanya vitu alivyovikataza mungu kuwa vitamu sana.QURAN NA BIBLIA VYOTE VINAPINGA ULAJI WA YULE JAMAA MWENYE MDOMO MREFU....KITI MOTO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom