Natural hair Vs Fake Hair

Boflo nilshakwambia kwamba post zako hunikosha sana. nakuapenda bure lol!

nashukuru Mungu nina natural hairs ingawa relaxed lkn zinagusa mgongoni na sijutii eti kutaka kuweka mibandia ama minyusi bandia lol! sasa ukitaka kukinai umkute mdada kaeka manywele fake, nyusi fake, kope fake na rang za kope za rainbow utamkimbia.

Yaa,tena wanatia kichefuchefu,cjui wenyewe hawaoni hilo!
Unakuta hyo mikope mirefu,mikucha kabandika yaan tabu tupu.
I thanx Lord najikubali nilivyo no kujiongeza
 
Last edited by a moderator:
Yaa,tena wanatia kichefuchefu,cjui wenyewe hawaoni hilo!
Unakuta hyo mikope mirefu,mikucha kabandika yaan tabu tupu.
I thanx Lord najikubali nilivyo no kujiongeza

mwali siyo siri mm nimebarikiwa kucha nzuri sana za miguu ila hakuna kuzitia rangi na daima navaa viatu vya kufunika ili miduu iwe laini na izidi kuwa meupe. kucha za mikono ninazo fupi ila nazikata vizur basi wala haziniwazish eti nizibandike big no. nywele ni zangu nikimbie nilale nkiamka nachana tu nabana vyema. macho yangu zaid ya kutinda sina cha kubandika manyusi wala nn na sipaki rangi machoni zaid ya wanja tu ili jicho lie la kike lol!
 
Yaa,tena wanatia kichefuchefu,cjui wenyewe hawaoni hilo!
Unakuta hyo mikope mirefu,mikucha kabandika yaan tabu tupu.
I thanx Lord najikubali nilivyo no kujiongeza

Huyo wema makucha marefu hivo akitaka kuosha kule chini** inakuje????? uchafu tu....
 
Sahivi i'm growing bonge la afro so inanilazimu kusuka rasta za bandia.............zikifika kiwango nitakuwa naziachilia, napenda sana kuwa na nywele za asili relaxer nimejaribu nimeshindwa kwakweli
 
Bujibuji, wanawake wa nywele za bandia huwa hawapendi mvua wala kuogelea, utawaona na bikini na kuchezea maji ikiwa imemlazimu, yaani wachache saana wataoga maana baada ya hapo lazima afanye setting tena

Mbaya zaidi huwa zinanuka, sasa ukae nae ndani ya daladala na mbanano ule, utatapika.
Hapo umemaliza kila kitu!! ... & huo ndio ukweli wenyewe ... sijui huwa wanazing'ang'ania za bandia za nini!
 
Boflo nilshakwambia kwamba post zako hunikosha sana. nakuapenda bure lol!

nashukuru Mungu nina natural hairs ingawa relaxed lkn zinagusa mgongoni na sijutii eti kutaka kuweka mibandia ama minyusi bandia lol! sasa ukitaka kukinai umkute mdada kaeka manywele fake, nyusi fake, kope fake na rang za kope za rainbow utamkimbia.
hongera ntaomba siku moja nizione....
 
Mi nilipata mwanamke, mrembo ile mbaya, akawa anaiona mi zuzu, eti sitambui ile minywele ya bandia. Akawa ananiambia amezaliwa nazo, na mimi nikawa namuitikia ndio..ndio...ndio...
Basi siku moja tuko kwenye matembezi ikaja mvua kubwa, na hatukuwa na sehemu ya kujisitiri, nywele zililowa na manyuzi yaliyoshonewa yakaanza kukatika.
Mimi nikamuuliza, mwenzangu kulikoni, mbona kichwani kwako kuna matabaka mawili ya nywele,?

Hujamalizia.........ikawaje?
 
Wengne wanasukia rasta wanadumu nazo kama deni la dowans na serikali ya jk.joto la dar wananuka sumu yani ni full WANAKERAAA
 
Yaani mnanibonda tu, yaani mie ni feki kuanzia makalio hadi nywele lol
Ngoja nijipange, naona soko limebadilisha ladha
 
Mi nilipata mwanamke, mrembo ile mbaya, akawa anaiona mi zuzu, eti sitambui ile minywele ya bandia. Akawa ananiambia amezaliwa nazo, na mimi nikawa namuitikia ndio..ndio...ndio...
Basi siku moja tuko kwenye matembezi ikaja mvua kubwa, na hatukuwa na sehemu ya kujisitiri, nywele zililowa na manyuzi yaliyoshonewa yakaanza kukatika.
Mimi nikamuuliza, mwenzangu kulikoni, mbona kichwani kwako kuna matabaka mawili ya nywele,?

bujibuji bana, raha tupu.
 
Back
Top Bottom