Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,439
- 166,898
nilikuwa sijui, kumbe JF ni chombo cha kuondolea stressBujibuji umefanya nicheke kama mjinga vile! Najaribu ku imagine! Lol!
nilikuwa sijui, kumbe JF ni chombo cha kuondolea stressBujibuji umefanya nicheke kama mjinga vile! Najaribu ku imagine! Lol!
nilikuwa sijui, kumbe JF ni chombo cha kuondolea stress
masharti ya mganga.
Wasanii zaidi ya asilimia 98 ni washirikina
Labda hiyo ya mwanzo tu, nyengine noway hata hizo dreadlocks sijui mnaivyoita.
Sahivi i'm growing bonge la afro so inanilazimu kusuka rasta za bandia.............zikifika kiwango nitakuwa naziachilia, napenda sana kuwa na nywele za asili relaxer nimejaribu nimeshindwa kwakweli
Sikiliza Bujiku
Wanawake sijui kwa nn wanapenda fake hair, huwa sizipendi kabisa na zinawafanya waonekane kama mashetani..
Siku 1 nilikuwa na do na dem 1, nywele zikaporochoka bac stimu yote ikanitoka, na wengine wakiwa na fake
hair hawataki hata uwaguse kichwani, sasa hapo kuna raha gani??