orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 3,470
- 6,129
Asee wewe ni Master kumbeYes mkuu... nafanyaga tu kama push up 15 asubuh na jion...
Asee wewe ni Master kumbeYes mkuu... nafanyaga tu kama push up 15 asubuh na jion...
Wapo wengi tu mkuuKuna mlevi nishakutananaye anapreach watu.... et "mimi nampenda MUNGU ndiye aliyeniumba" ila yuko tungi ile mbaya... mkuu
Kivipi yaniSitaki kitambi mkuu......
Keupe ndio mpango mzima🔥🔥Bro umesahau picha ya kijasho cha baridi
View attachment 3679376
ruka hospital sasaHapana mkuu... sio kawaida...
Lipa madeni ya watu mkuu.Hellow Great Thinker!!!
The LORD is good...
Wakuu hii hari ya kutoka jasho ukiwa comfotable ina maanisha nini?
..... Yani umetulia zako unaona kiubalidi kinatekenya kwenye msuli, una cheki kumbe ni jasho tu, ukiifuta inaachia kutoka!!!
.......The LORD is my shepherd......
Ikiwa hali hii inatokea mara moja moja na haina dalili nyingine, mara nyingi haina shaka.Asante sana mkuu... inaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa wowote au....
Sorry jomba27 september 2026 19:41 SUN DAY. Kwanini mkuu!!!
Asee fanya mazoezi toba pekee haitoshiWengine kazi zetu mda mwingi umerest, mda wa mwili kuchakata mafuta ya mwilini mpaka ufunge...
Asante mkuu, till now ni kama mara mbili au tatu since januaryIkiwa hali hii inatokea mara moja moja na haina dalili nyingine, mara nyingi haina shaka.
Hata hivyo, unapaswa kufanya uchunguzi wa haraka wa matibabu iwapo jasho hilo linaambatana na dalili za homa na uchovu