Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,432
- 21,444
Hiyo ni divaiKwa staili hii lazima jasho likutoke tušView attachment 3679360
Hiyo ni divaiKwa staili hii lazima jasho likutoke tušView attachment 3679360
Pima uzito mkuu kwa navyoangalia mwenendo wako hapa jf wewe ni kibonge itakucost ingia jf mara tatu kwa wiki mda mwingi tumia kuchakata mafuta ukikaa sawa ingia 24hrs huu ni ushauri ambao hata mods hwawezi kukupaAsante mkuu, till now ni kama mara mbili au tatu since january
Be blessed
noted!!!
Push ups 15 mkuu hutoi jasho ni kama warm up ya warm upššpiga zoez jasho litoke haswaa hata mara tatu kwa week kutegemeana na ratiba yakoYes mkuu... nafanyaga tu kama push up 15 asubuh na jion...
Hapana mkuu...niko normal tu gen-z unaanzaje kuwa kibonge....Pima uzito mkuu kwa navyoangalia mwenendo wako hapa jf wewe ni kibonge itakucost ingia jf mara tatu kwa wiki mda mwingi tumia kuchakata mafuta ukikaa sawa ingia 24hrs huu ni ushauri ambao hata mods hwawezi kukupa
Jasho la nini sasa au ulikuwa na pindi lakuchakataHapana mkuu...niko normal tu gen-z unaanzaje kuwa kibonge....