harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
Eeh Mungu uwajalie uponyaji Wa haraka! Amina.
Mbona hii sio mada wakuu nenden pm basMimi nimjue yeye km nani ? Wakati ye mwenyewe alikuwa binadamu km mimi, Alikuwa anakunya na anakula km tulavyo sisi, tena me nimemzidi maana Nna Mke, , ye kafa ana hata Mke wala mtoto wa kusingiziwa, Ila alikuwa mtume mtukufu wa M/mungu na nabii kwa wana Israel pekee
kwani mada kuu iliyopo mezani ni ipiMbona hii sio mada wakuu nenden pm bas
Weee nae umechangiaje kama haujui mada iliyopo?kwani mada kuu iliyopo mezani ni ipi
Ujambo mrembo,, nakuja PM,,Weee nae umechangiaje kama haujui mada iliyopo?
Punguza mihemko.
Ina kufuli tafuta njia nyingineUjambo mrembo,, nakuja PM,,
We kyuma katengeneze uzi wako uku unatuboa tu..kusoma umavi mavi wako wkt tupo kwenye masikitiko..mmbwaMimi nimjue yeye km nani ? Wakati ye mwenyewe alikuwa binadamu km mimi, Alikuwa anakunya na anakula km tulavyo sisi, tena me nimemzidi maana Nna Mke, , ye kafa ana hata Mke wala mtoto wa kusingiziwa, Ila alikuwa mtume mtukufu wa M/mungu na nabii kwa wana Israel pekee
Doh.. Kwahiyo private parts nazo wanachangiaMioyo iko tofauti wanachangia kuanzia tumboni kwenda chini
Ndivyo ninavyosikiaDoh.. Kwahiyo private parts nazo wanachangia
MALAIKA?Eehh Mungu waponye malaika hawa
Hahaha just to bring hope kwao mkuu !!MALAIKA?
Samahani mkuu sijaelewa kwa nini lugha hiyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya majibu mengine sijui mnatoaga wapiIna kufuli tafuta njia nyingine