Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,885
Mbona wengine wanadai wamepishana masaa matatu?Kumbe walipishana dakika kama 15 kufariki.Yani alianza mmoja ,mwingine akakaa dakika 15 na mwili wa marehemu mwenzie ndio nayeye akamfuata.
Mungu alaze rohozao mahala stahili.