TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
Hilo neno kuna haja ya kuwa nalo makini tunapolitumia. Asante.Hahaha just to bring hope kwao mkuu !!
Hilo neno kuna haja ya kuwa nalo makini tunapolitumia. Asante.Hahaha just to bring hope kwao mkuu !!
Mmh! Mungu na atende muujiza....ashushe rehema zake...Mioyo iko tofauti wanachangia kuanzia tumboni kwenda chini
Unasemaje we chakura,, au nimeweke mambo adharani kuwa ulinipa kinyesi, na watu hawajui humu kwnn unajiita kanye, Ila sikutaki tena, maana bado kidogo nimuache wife kwa tigo yako nzuriWe kyuma katengeneze uzi wako uku unatuboa tu..kusoma umavi mavi wako wkt tupo kwenye masikitiko..mmbwa
We ni **** tuUnasemaje we chakura,, au nimeweke mambo adharani kuwa ulinipa kinyesi
Kinyesi alikupa mama yakoUnasemaje we chakura,, au nimeweke mambo adharani kuwa ulinipa kinyesi
Mkuu kwema mbona umekengeuka kiapo chako cha kusoma au april imefikaMungu wa pacha consolata na maria ufanye uponyaji
Unanikana sio?? Niweke meseji zetu adharaniKinyesi alikupa mama yako
AmiinKweli dunia inamitihan yake pole yao
mola wajalie haja ya nafsi zao
the painless killing of a patient suffering from an incurable and painful disease or in an irreversible coma.Naona kama mmoja yuko kwenye life supporting machine,?? Kama kwel bas ni hatari zaidi kitabibu kwan uyo akienda kuna kitu inaitwa "euthanasia" lazima kichukue nafasi for the sake of the remaining one....
So sad indeed....
Hivi nikitoka mmoja aka RIP itakuwaje?Mungu wa pacha consolata na maria ufanye uponyaji
Nimeshindwa kuulizia hicho kitu maana maumivu yake ni makubwa sanaMmh! Mungu na atende muujiza....ashushe rehema zake...
Lakini ikitokea mmoja kufariki hapo..sipati picha...shughuli itakuwaje hapo!
Duuuh sina hata cha kuandikaAnawaza akifariki mmoja itakuwaje. Anaumwa mmoja na kila mmoja ana moyo wake ila kwa kuwa hawawezi kutengana imebidi walazwe wote. Akifa mmoja ndo swali linalomwazisha mwenzangu. Nami linaniwazisha maana sijui sayansi. Moyo na ubongo kila mmoja anajitegemea ila kwenye kiwiliwili kuna viungo wanashea. Ikitokea huyo mgonjwa akafariki halafu viungo vilivyoungana vinaendeshwa na ubongo wa aliye hai itakuwaje? Nawaza yule hai atajisikiaje kuona maiti ya mwenzie? Madaktari watamharakishia kifo au watamchelewesha marehemu kuoza? Nawaombea uzima hawa mabinti.
Acha basi kusema hivyo mkuuIla mkuu hawa mapacha kupona ni muujiza wa Mungu tu sio kwa uwezo wa binaadamu inahuzunisha Sana'a [emoji22]
Amen...Watapona kwa jina la yesu!
Mkuu ukihadithiwa huwezi elewa nenda pale hospital kawatembelee ujioneeAcha basi kusema hivyo mkuu
Tunawaombea kwa Mungu kupitia akili alizowapa wanadamu wapone na warejee shuleni kuendelea na masomo yao