BADILI TABIA mke mwenzangu ye kajiwaia mapemaaaa, hubby Asprin kampeleka Yummy kufanya shaving kwa Boflo! Erickb52 katahiri mtoto wake blonde aliyezaa na Catherine bila Mentor kujua! zomba anaugulia bila mkewe mtarajiwa Mwali maana dr.ulimboka kesho anaonge na waandishi. Kaizer na gfsonwin wapo kwa Kimbweka na Kiranja Mkuu wanafundwa maana wamekutana wote magogo tu! Excellent na Ronn M wao wamekuwa mfano bora na ndio kisa cha Eiyer kuwa bikra mpaka leo, bila kujua Kaunga anaweza kumkimbia anytime na kwenda kushughulikiwa na wanaume marijali kama wakina Superman na gambachovu, mmhhh Smile naye nadhani bikra ishakwanguliwa mudaaaa ndio maana cku hizi anadipu tu humu, chezeiya jf weye??. kamani kumiss mtu ngoja niwe wazi, nammiss sana sweetlady, lol, alinikaribisha vizuri jamvini chini ya Kongosho asali ya ODM!Jaribu na wewe mpenzi, tena waite na ndugu zangu kwa mtindo wa mention, mi kwangu imegoma (au nimekosea?)
BADILI TABIA mke mwenzangu ye kajiwaia mapemaaaa, hubby Asprin kampeleka Yummy kufanya shaving kwa Boflo! Erickb52 katahiri mtoto wake blonde aliyezaa na Catherine bila Mentor kujua! zomba anaugulia bila mkewe mtarajiwa Mwali maana dr.ulimboka kesho anaonge na waandishi. Kaizer na gfsonwin wapo kwa Kimbweka na Kiranja Mkuu wanafundwa maana wamekutana wote magogo tu! Excellent na Ronn M wao wamekuwa mfano bora na ndio kisa cha Eiyer kuwa bikra mpaka leo, bila kujua Kaunga anaweza kumkimbia anytime na kwenda kushughulikiwa na wanaume marijali kama wakina Superman na gambachovu, mmhhh Smile naye nadhani bikra ishakwanguliwa mudaaaa ndio maana cku hizi anadipu tu humu, chezeiya jf weye??. kamani kumiss mtu ngoja niwe wazi, nammiss sana sweetlady, lol, alinikaribisha vizuri jamvini chini ya Kongosho asali ya ODM!
ila Roulette kuna mtu anaitwa Invisible namuogopa tu, Paw na Buchanan hawanipi homa sana! sijui ni kwann, ila imetokea tu, haya kuna x wangu aitwa Young_Master ODM kambatiza bingwa wa upekuzi, lol nahofia kusutwa hapa! dadangu Zinduna na Chauro nawakosa sana mara kwa mara jamvini jamani muwe mnakuja ebo!
kesi ya CUTE na Ruhazwe JR acha tu maana hata @Mcckee hawezi itatua! nimekupa umbeya leo sana wacha leo nikajifiche kwenye kasri la Bishanga na The secretary naogopa kuishia mabwepande, lol!
nipo baba! nalijenga taifa letu bila kujua hatma ya nssf yangu!ha,ha,ha.....mie nataka paja tu,like ya kazi gan? charminglady nimeshaanza kummili huna habari,mzima lakini babyface cacico
kazi kwako!Asante sana mpenzi, sasa the gamble is on rasmi!
Kumbe sijawahi kukupa like? pole sana. Basi ongeza juhudi kidogo, hizo hadithi za Abunuass utanisumulia wapi? mbona hadithi ni za bed time? usilete utundu...
Mtoto weye mbaya sana yaani hata hadithi za Abunuasi hutaki..!! Basi nitakusimulia za Alf Lela Ulela Tena wakati unatafuta usingizi ukikataa na hizo na mimi Like yako naisusa na siku ukinipa naandamana.....
Hahahaha, hiyo comparison imenichekeshaje!
Hahahaha, mbona unaomba like kwa mikwara? utapata kweli?
Zamu yangu leo mke mwenza, hapa nishajiandaa namsubiri hubby aje.....
BADILI TABIA mke mwenzangu ye kajiwaia mapemaaaa, hubby Asprin kampeleka Yummy kufanya shaving kwa Boflo! Erickb52 katahiri mtoto wake blonde aliyezaa na Catherine bila Mentor kujua! zomba anaugulia bila mkewe mtarajiwa Mwali maana dr.ulimboka kesho anaonge na waandishi. Kaizer na gfsonwin wapo kwa Kimbweka na Kiranja Mkuu wanafundwa maana wamekutana wote magogo tu! Excellent na Ronn M wao wamekuwa mfano bora na ndio kisa cha Eiyer kuwa bikra mpaka leo, bila kujua Kaunga anaweza kumkimbia anytime na kwenda kushughulikiwa na wanaume marijali kama wakina Superman na gambachovu, mmhhh Smile naye nadhani bikra ishakwanguliwa mudaaaa ndio maana cku hizi anadipu tu humu, chezeiya jf weye??. kamani kumiss mtu ngoja niwe wazi, nammiss sana sweetlady, lol, alinikaribisha vizuri jamvini chini ya Kongosho asali ya ODM!
ila Roulette kuna mtu anaitwa Invisible namuogopa tu, Paw na Buchanan hawanipi homa sana! sijui ni kwann, ila imetokea tu, haya kuna x wangu aitwa Young_Master ODM kambatiza bingwa wa upekuzi, lol nahofia kusutwa hapa! dadangu Zinduna na Chauro nawakosa sana mara kwa mara jamvini jamani muwe mnakuja ebo!
kesi ya CUTE na Ruhazwe JR acha tu maana hata Mike McKee hawezi itatua! nimekupa umbeya leo sana wacha leo nikajifiche kwenye kasri la Bishanga na The secretary naogopa kuishia mabwepande, lol!
nipo baba! nalijenga taifa letu bila kujua hatma ya nssf yangu!
Hapa ni 'red handed' nimekufurahisha, tena umecheka kwa hiayari ya moyo wako na swaumu yote hii kali?
Na mshindi wa like hii ni Konnie! Hakuna cha auditor kuja hapa labda shemeji yangu kwa King'sti tu.
Hata kama sio like, kaa basi na mimi tuone ubunifu wa wana chit chat leo!Bado hunipi tu,basi ukiniona tena hapa kama hujanipa hiyo LIKE basi nipige Bani....hahahahaaaaa