Natngaza maandamano na mgomo kwa member wote wa JF kushinikiza Maria Roza apigwe ban! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natngaza maandamano na mgomo kwa member wote wa JF kushinikiza Maria Roza apigwe ban!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mathias Byabato, Feb 14, 2011.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Wakubwa inawezekana msinilewe lakini nimefikia hatua hii kutokana na kuona huyu mama/baba anayeongoza kwa kupost picha,hoja za ngono humu JF kwa kisingizio cha jukwaa la kikubwa.

  Huyu jamaa sijui anafanya kazi gani,anapost hizo hoja zake akitegemea matokeo gani,anafumndisha nini jamii,naona moderator wa JF 'wanakula naye' kwani hawataki kumbpiga ban moja kwa moja

  sasa naitisha rasmi maandamano na mgomo kwa member wote wa jf.

  Utartibu wa mgomo huo na maandamano utaanza rasmi baada ya maoni yenu kutolewa hapa hapa.

  Tutatumia hata FB,TT,YT iwapo JF itashindwa kuhakikisha Maria Roza anafungiwa

  ebu tazama post zake za karibu ni.Gonga hapa
  nawasilisha.
   
 2. P

  Pokola JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  wengine tunapenda, we kama hutaki kwa nini ujipeleke mimacho yako ktk hizo picha? Tamaa tuu.
   
 3. K

  Kosmio Senior Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Una kisa na Maria Roza?
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wapenda uchi utawajua:twitch:
   
 5. P

  Pokola JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  sasa kama mtu anapost ktk forum husika, shida iko wapi? Kwanza unapokwenda ktk ile forum, wenda kutafuta nini? tehe, kama hupendi hizo mambo the best you can do is to avoid peeping into the forum ya mambo ya sisi wakubwa!! Unataka kutuchongea kwa mod wewe. Very unreasonably!! Mimi napenda hizo mambo, je wewe??
   
 6. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mi nilifikiri kama Misri!!!
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu ukitaka kugombana na wana JF sema MR apigwe bann! Kuna kipindi aliomba bann mwenyewe yaani watu wakaanza kusema Oooooh jukwaa la MK litapwaya licha ya jamaa kibao kujitokeza na kusema wao wataziba nafasi ya MR.
  Kifupi yeye si mkorofi isipokuwa jukwaa lake linafahamika. Ninachoweza kucomment ni sometimes pos zake naziona katika majukwaa mengine ya kawaida, hapo ndipo tatizo linapoanzia.
   
 8. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280


  [​IMG] Mambo ya Kikubwa

  (6 Viewing)
  Only Requested users can access this point. Send your request via PM to Invisible and you'll be granted access but AT YOUR OWN RISK!


  WATANZANIA WENGI WANAFAIL MITIHANI NA INTERVIEWS KWA KUTOKUFUATA MAELEKEZO, RIFHT UNGELISOMA NA KUFUATA MAELEKEZO NA TARATIBU ZA KUINGIA JUKWAA HILO USINGEWEKA HII THREAD!!!
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo hakuna tataizo hapo!kwa hiyo unapenda sana ngono!!basi kwa tafsili rahisi wewe ni mkwale,pole sana mkuu!!
   
 10. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo hilo ni jukwaa la ngono?kama ni la ngono basi wangine kiswahili hatukielewi vizuri!!
   
 11. LD

  LD JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Mkuu habari yako kwanza.
  Ni hivi, unauhuru wa kuchagua jukwaa la kuingia kutokana na matakwa yako wewe, Imani yako wewe, na kile unachokiamini wewe!!
  Yapo majukwaa mengi hapa na yanabeba kila tabia, na mfumo wa maisha ya hapa Tanzania na dunia nzima.

  Unapenda biashara, Ingia kwenye jukwaa hilo, toa michango yako, elimisha saidia jenga
  Kama ni siasa, lugha,umbea na udaku, na hayo mengine nenda huko, kaaaa huko, boresha huko kwa akili na kile ulichonacho.

  Hilo jukwaa ambalo nafsi yako hailitaki, usiiingie huko, acha kabisa, tena huko unaingia kwa kupenda na kuomba mwenyewe.
  AT YOUR OWN RISK!!!!
  Why you go there??
  Kwa nini uliomba kuingia humo, ok umeingia umekuta hakukufai tulia acha kuingia huko.
  Jitambue, unataka nini, na ukae pale panapokufaa.
  Ndiyo labda unaona ni vibaya lakini wanaoingia huko hawajalazimishwa, wala kupewa uhuru, wameomba kuingia wenyewe.

  So please, Just be cool, Muache Maria ROza wa watu.
  Chagua sehemu yako inayokufaa.
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mambo ya kikubwa jukwaa!

  Only Requested users can access this point. Send your request via PM to Invisible and you'll be granted access but AT YOUR OWN RISK

  Kama ulijiunga umeyataka mwenyewe
  Try to change urself not the world
   
 13. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #13
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  My Take:
  Ina maana kwa mfano humu JF kama kuna jukwaa linalowahamasisha watanzania kuvuta bangi,kutumia madawa ya kulevya unaweza kusema tuachane nalo kwa kuwa wanaolitembelea ni watumiaji wa bagi na madawa ya kulevya?
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ashukuriwe Mungu kwa sababu hakuna jukwaa kama hilo JF!!
  Na hilo jukwaa la Wakubwa hatuwezi kulinganisha na mambo ya bangi na unga!!

  Mimi mwenyewe sio mteja wa hilo jukwaa la wakubwa!!
  Lakini baada yakupita huko kuangalia kuna nini, niliona kuna vitu ambavyo watu wanaweza kujifunza kuimarisha
  mahusiano yao ya ndoa, na kupata mbinu za kuilinda na kuijenga ndoa katika secta nzima ya tendo lenyewe.
  Na ninachoamini, kikiwekwa kitu cha ajabu na kutisha, MODS wapo makini, ku modereiti kaka angu!!!!

  Muache Maria Roza WA Watu.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sioni sababu ya kumpiga BAN!!!
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Only Requested users can access this point. Send your request via PM to Invisible and you'll be granted access but AT YOUR OWN RISK.

  Itabidi MODS watafsiri kwa Kiswahili maana naona inakuwa ngumu watu kuelewa ukiishaambiwa AT YOUR OWN RISK sijui unaenda kutafuta nini tena.
   
 17. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Hii hoja hapa siyo mahala pake, ipeleke huko huko anakohusika MR...
  Tutaijadili.
   
 18. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ushindwe na ulegee na umkome mwalimu wetu kama ulikoma ziwa la mama yako.we wa kuja alafu unatuletea nyodo?lione kwanza.
   
 19. L

  LAT JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  sasa umetuwekea link tugonge wakati jukwaa hilo la wakubwa mpaka upate kibali kutoka kwa Invisible ..... lete mada bana kwenye hoja mchanganyiko ... ulifuata nini huko ... au ulikua una beep .... unalo
   
 20. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #20
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama wewe unajiona ni mbovu wa mambo hayo si lazima uzame kwenye jukwaa la wakubwa...................
   
Loading...